Jina la Tanganyika kupewa wilaya ni dharau kwa jina hilo tukufu

Wakuu,

Nimeshangaa hivi karibuni kujua kwamba kuna wilaya huko MKOA WA KATAVI inaitwa WILAYA YA TANGANYIKA.
Yaan, JINA TUKUFU la TANGANYIKA limedharauliwa hadi kupewa wilaya?

Ina maana tumeshamiria kabisa kuiua TANGANYIKA?

CC: Pascal Mayalla
Vipi hapo Mtaa wa Simba na Fisi ..zedigito na kwa switimanka ...Ikola ya Congo
 
Ndo maana nchi ni shamba la bibi
 
Kalema
 
Siku nyi
Siku nyingine, siku nyingine, ndo imetoka hio, hautokuja kutuelezea, tushawazoea
 
Wilaya IPO KABLA YA NCHI??
 
Wakuu,

Nimeshangaa hivi karibuni kujua kwamba kuna wilaya huko MKOA WA KATAVI inaitwa WILAYA YA TANGANYIKA.
Yaan, JINA TUKUFU la TANGANYIKA limedharauliwa hadi kupewa wilaya?

Ina maana tumeshamiria kabisa kuiua TANGANYIKA?

CC: Pascal Mayalla
Kwahiyo hata ziwa Tanganyika halikustahili kuitwa hivyo. Uko baa gani wakuongeze bia.
 
Wilaya IPO KABLA YA NCHI??

Majina yametangulia hizo jurisdiction ziliduata baadaye.

Kwa akili yako ziwa Tanganyika lilikua linaitwaje Kabla ya wakoloni?

Tanganyika Jimbo la Congo unadhani liliiga nchi yenu? Kaulize Hilo eneo linaitwa Tanganyika toka lini huko Congo utapata jibu.
 
Mkuu.

Tunazungumzia wilaya ya TANGANYIKA.

SIYO ZIWA WALA JIMBO LA KONGO.

Unasema wilaya ya TANGANYIKA ilikuwepo kabla ya NCHI?

Hoja yangu ni wilaya kupewa jina la TANGANYIKA.
 
Mkuu.

Tunazungumzia wilaya ya TANGANYIKA.

SIYO ZIWA WALA JIMBO LA KONGO.

Unasema wilaya ya TANGANYIKA ilikuwepo kabla ya NCHI?

Hoja yangu ni wilaya kupewa jina la TANGANYIKA.

Uwe muelewa.

Nakwambia Hilo eneo lote linaitwa Tanganyika Kabla hata wakoloni hawajafika.

Linaitwa Tanganyika Kabla hata ya kupewa hadhi ya wilaya. Jina limetangulia, nchi ya Tanganyika imekuja bdae kabisa let alone hadhi ya wilaya.

Hilo eneo linaitwa Tanganyika Kabla hata nchi ya Tanganyika haipo.

Eneo la Tanganyika stretches from Congo, ziwa lenyewe na huu upande wa Tanzania ya sasa.

Unajua nini kilisababisha nchi yote kuitwa Tanganyika na watu waliosababisha Hilo?
 
We ni ndukum kweli ni vitu vingapi vimepewa jina la Tanganyika,acheni kuwa mnatujazia ujinga himu na maadmin nayo yapo tu yanaangali kazi kufuta nyuzi bora na kuacha haya maujonga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…