Abby Newton
JF-Expert Member
- Nov 12, 2017
- 1,252
- 2,253
namshangaa huku kitaa ukizengua unaambiwa acha mambo yako ya kiutopoloMakolo limelazimishwa,utopolo lilitamkwa kwa hisia,likang'ag'ania.
Neno utopolo limevuka mipaka. Jambo lolote la Hovyo linaitwa utopolo.
Makolo limelazimishwa,utopolo lilitamkwa kwa hisia,likang'ag'ania.
Neno utopolo limevuka mipaka. Jambo lolote la Hovyo linaitwa utopolo.
Nipo Sasa Hivi Kyerwa Sehemu Moja MurongoItakua ni mitaa ya jangwani hiyo
Uto umesikika vibwengo fcNi ajabu na kweli kwamba lile jina lililokuwa linawanyima usingizi mashabiki na wapenzi wa Young African sasa limejifia lenyewe by "Natural Death" huku wenzao wakipokea shurba hiyo kwa jina lao la "Makolo" kuibuka na kujipatia umaarufu mkubwa. Kweli kutesa kwa zamu.Tafta hela heshima itakufuata yenyewe.