Ni mzuri,ila hilo hayo ni maneno ya kiingereza tu na hata humo kaimba kiingereza ila labda lafudhi ya Kihispania ndio maan kina maneno hayaelewekiNi wimbo mzuri sana . Nimejaribu tu kuelewa ki Spanish nakijua kwa mbali . Maana yake ni Uwepo wa ukaribu
Toka jana hamna muongozo aise
Sijaona account yake yoyote imepostSijajua hebu niambie ni wake au AI?
Siku zinakuja ni vile tu Ai aifanyi showDunia inaenda kasi sana,kama ni AI mbona mzuri sana,basi itafika mahali AI itatuzidi nguvu
Mambo yao waachie wenyewe