Aisee, tembea uone - duniani kuna mamboWanaofanya mazingaombwe huwa wanadai kwamba, maonesho yao yanatokana na ujanja na maarifa fulani ya hali ya juu. Hata hivyo, Mtumishi mmoja wa Mungu, amethibitisha wazi kuwa baadhi ya mazingaombwe huwa yanafanywa kwa kutumia nguvu za giza!
Siku moja Mtumishi huyo alipita mahali akakuta mwana mazingaombwe anafanya "show" zake. Kulikuwa na kikundi kikubwa cha watu wanatazama. Mtumishi huyo, alisimama katikati ya watazamaji wengine, kisha kimya kimya, bila kutamka maneno, akakemea "show" hizo zisifanyike. Mwana mazingaombwe, alijaribu kutumia mbinu na maarifa yake yote, lakini hakuweza tena kufanya yale aliyotamba kwamba atayafanya. Baadaye akasema: "hapa kuna mtu anazuia mazingaombwe yangu yasifanyike!" Lakini hakuweza kujua ni nani.
Mtumishi huyo akathibitisha kuwa ni kweli baadhi ya mazingaombwe huwa yanafanywa kwa kutumia nguvu za giza au uchawi, ndio sababu mwana mazingaombwe huyo hakuweza kuendelea na "show" zake, mara tu Mtumishi huyo wa Mungu alipoyakemea kwa Jina la Yesu.
Hakika Jina la Yesu ni Jina lipitalo majina yote. Likitamkwa kwa sauti ndogo au kubwa au kimoyo moyo na mtu aaminiye kuwa Jina la Yesu lina nguvu, kazi za shetani zinavunjika, mapepo yanatoroka na shetani mwenyewe anakimbia. Anza leo kulitumia Jina la Yesu ku-solve matatizo unayokutana nayo maishani mwako. Wachawi wakija kwako, wakemee kwa Jina Yesu watakimbia. Watu wakikutishia kwamba wataloga biashara yako, zuia mipango yao kwa Jina la Yesu. Ukiona ndoa yako imeingiliwa na mapepo yanayosababisha unafarakana na mwenzi wako wa ndoa, kemea mapepo hayo, utaona chuki na mafarakano vinaisha!
Sure, tembea uone nguvu za Yesu in action. Ukikaa mahali pamoja unaweza kufikiri watu wote duniani ni Atheists. Kumbe kuna maeneo mengine Watumishi wa Mungu wana-apply Neno la Mungu in real life situationsAisee, tembea uone - duniani kuna mambo
Hata jina la shetani linaweza. Ni belief na perception tu.Wanaofanya mazingaombwe huwa wanadai kwamba, maonesho yao yanatokana na ujanja na maarifa fulani ya hali ya juu. Hata hivyo, Mtumishi mmoja wa Mungu, amethibitisha wazi kuwa baadhi ya mazingaombwe huwa yanafanywa kwa kutumia nguvu za giza!
Siku moja Mtumishi huyo alipita mahali akakuta mwana mazingaombwe anafanya "show" zake. Kulikuwa na kikundi kikubwa cha watu wanatazama. Mtumishi huyo, alisimama katikati ya watazamaji wengine, kisha kimya kimya, bila kutamka maneno, akakemea "show" hizo zisifanyike. Mwana mazingaombwe, alijaribu kutumia mbinu na maarifa yake yote, lakini hakuweza tena kufanya yale aliyotamba kwamba atayafanya. Baadaye akasema: "hapa kuna mtu anazuia mazingaombwe yangu yasifanyike!" Lakini hakuweza kujua ni nani.
Mtumishi huyo akathibitisha kuwa ni kweli baadhi ya mazingaombwe huwa yanafanywa kwa kutumia nguvu za giza au uchawi, ndio sababu mwana mazingaombwe huyo hakuweza kuendelea na "show" zake, mara tu Mtumishi huyo wa Mungu alipoyakemea kwa Jina la Yesu.
Hakika Jina la Yesu ni Jina lipitalo majina yote. Likitamkwa kwa sauti ndogo au kubwa au kimoyo moyo na mtu aaminiye kuwa Jina la Yesu lina nguvu, kazi za shetani zinavunjika, mapepo yanatoroka na shetani mwenyewe anakimbia. Anza leo kulitumia Jina la Yesu ku-solve matatizo unayokutana nayo maishani mwako. Wachawi wakija kwako, wakemee kwa Jina Yesu watakimbia. Watu wakikutishia kwamba wataloga biashara yako, zuia mipango yao kwa Jina la Yesu. Ukiona ndoa yako imeingiliwa na mapepo yanayosababisha unafarakana na mwenzi wako wa ndoa, kemea mapepo hayo, utaona chuki na mafarakano vinaisha!
Hahah weka picha zao apa hao kina yesu Mungu, malaika na shetaniUnaota ndoto? Kama uko macho, umeyanukuu wapi maneno hayo?
Ndugu yangu, Yesu alipokuwa duniani hakukuwa na camera, ndiyo maana hatuna picha yake halisi. Kamera ya kwanza ya kupiga na kurekodi picha (photographic camera) ilivumbuliwa na Joseph Nicéphore Niépce mwaka 1816–1817. Wakati huo Yesu alikuwa tayari ameishapaa mbinguni zaidi ya miaka elfu moja kabla. Ndiyo maana tunamjua Yesu kupitia maandiko matakatifu tu na sio kupitia picha. Na Maandiko hayasemi Yesu alikuwa mzunguHahah weka picha zao apa hao kina yesu Mungu, malaika na shetani
Hahahahah kwahyo yesu hawez kurudi Leo ili apige selfie waumini wake mmjuue vizuri?Ndugu yangu, Yesu alipokuwa duniani hakukuwa na camera, ndiyo maana hatuna picha yake halisi. Kamera ya kwanza ya kupiga na kurekodi picha (photographic camera) ilivumbuliwa na Joseph Nicéphore Niépce mwaka 1816–1817. Wakati huo Yesu alikuwa tayari ameishapaa mbinguni zaidi ya miaka elfu moja kabla. Ndiyo maana tunamjua Yesu kupitia maandiko matakatifu tu na sio kupitia picha. Na Maandiko hayasemi Yesu alikuwa mzungu
Hahaha picha picha tunazoziona....wazungu wajanja sanaUnaota ndoto? Kama uko macho, umeyanukuu wapi maneno hayo?