Yuda Legacy
JF-Expert Member
- Jun 21, 2023
- 778
- 2,764
- Thread starter
-
- #21
CCM TUPO NAO WAKATI WOTE KIMWILI LAKINI YESU HATUPO NAE KIMWILI NA ANATUPIGANIA WAKATI WOTE BASI INAPASA YESU AONGEZEKE KWANZA NDIO ATATUSAIDIA KUWAONDOA CCM BILA HATA KUTUMIA MTUTUTujitahidi kwanza CCM watoke madaraka I, otherwise Pepo tutaisikia kwenye bomba
Sahihi kabisaJINA LA YESU Kama vile chemicals weapon inavyopiga na kuangusha bila kuonekana basi ndivyo lilivyo yani one attack thousand people die na litatumika na WATAKATIFU tu kuangusha hizi tawala za mataifa ambazo mmiliki ni shetani
Ambazo zimekuwa zikitumika kuwadhihaki WATAKATIFU wa kweli Wa YESU kristo.
Marekani, uchina na urusi na mataifa yote tajili G7 wataangushwa pamoja kwa Kutumia jina la YESU tu watajaribu kurusha makombola lakini hayata wapata WATAKATIFU walio katika YESU KRISTO na Dunia Yote Itatawaliwa na mfalme wa wafalme YESU KRISTO.
View attachment 3055278
Ulivyokua zoba uzi umejaa kumsifu binadam hata Mungu wako umeshindwa kumtaja na umemsahau
Kiazi wewe na mungu wako mwenye secretaryIMEANDIKWA HUWEZI KUMUONA BABA BILA KUANZA NA MUNGU MWANA AMBAE NI YESU KRISTO
Toka ndotoni ndugu. Hata huyo msela aitwaye yesu akisoma ujumbe wako atakushangaa sanaJINA LA YESU Kama vile chemicals weapon inavyopiga na kuangusha bila kuonekana basi ndivyo lilivyo yani one attack thousand people die na litatumika na WATAKATIFU tu kuangusha hizi tawala za mataifa ambazo mmiliki ni shetani
Ambazo zimekuwa zikitumika kuwadhihaki WATAKATIFU wa kweli Wa YESU kristo.
Marekani, uchina na urusi na mataifa yote tajili G7 wataangushwa pamoja kwa Kutumia jina la YESU tu watajaribu kurusha makombola lakini hayata wapata WATAKATIFU walio katika YESU KRISTO na Dunia Yote Itatawaliwa na mfalme wa wafalme YESU KRISTO.
View attachment 3055278
Hamna kitu pale😂Kitu watu hawasanuka ni kwamba hekaya za Immanuel tulipigwa😂
SAWA MBONA HATA KAZINI KWAKO UMEWEKAKiazi wewe na mungu wako mwenye secretary
KAMA HUNA IMANI UTAONA NI HEKAYAKitu watu hawasanuka ni kwamba hekaya za Immanuel tulipigwa😂
unamaanisha kwenye Ile miaka 1000 au? Ile millennial kingdom, ambapo shetani atafungiwa kwenye shimo la kuzimu kwa miaka yote hiyo alfu. Kisha tutatawala na Kristo kabla shetani hajafunguliwa tena kidogo. Vita ya mwisho wanadamu wanajeshi wataizunguka Yerusalemu "mji upendwao na Bwana" halafu moto utashuka mbinguni na kuwala!JINA LA YESU Kama vile chemicals weapon inavyopiga na kuangusha bila kuonekana basi ndivyo lilivyo yani one attack thousand people die na litatumika na WATAKATIFU tu kuangusha hizi tawala za mataifa ambazo mmiliki ni shetani
Ambazo zimekuwa zikitumika kuwadhihaki WATAKATIFU wa kweli Wa YESU kristo.
Marekani, uchina na urusi na mataifa yote tajili G7 wataangushwa pamoja kwa Kutumia jina la YESU tu watajaribu kurusha makombola lakini hayata wapata WATAKATIFU walio katika YESU KRISTO na Dunia Yote Itatawaliwa na mfalme wa wafalme YESU KRISTO.
View attachment 3055278
Barikiwa Sana MpendwaCCM TUPO NAO WAKATI WOTE KIMWILI LAKINI YESU HATUPO NAE KIMWILI NA ANATUPIGANIA WAKATI WOTE BASI INAPASA YESU AONGEZEKE KWANZA NDIO ATATUSAIDIA KUWAONDOA CCM BILA HATA KUTUMIA MTUTU
Ufunuo wa Yohana 20 (Biblia Takatifu)unamaanisha kwenye Ile miaka 1000 au? Ile millennial kingdom, ambapo shetani atafungiwa kwenye shimo la kuzimu kwa miaka yote hiyo alfu. Kisha tutatawala na Kristo kabla shetani hajafunguliwa tena kidogo. Vita ya mwisho wanadamu wanajeshi wataizunguka Yerusalemu "mji upendwao na Bwana" halafu moto utashuka mbinguni na kuwala!

Tulipigwa mno😂Hamna kitu pale😂
Siyo suala la imani. Ni suala dogo tu la ufahamu na uelewa wa akili endapo haujaruhusu akili yako kuwa mateka wa hizo hekaya.SAWA MBONA HATA KAZINI KWAKO UMEWEKA
KAMA HUNA IMANI UTAONA NI HEKAYA