mvaa viatu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2017
- 351
- 522
Du!We kweli kiazi ulaya umekaririshwa tu mitaala yenu,nawe ukaimeza hivyohivyo kama ilivyo. binadamu anatokana nanyani ukasema ndio.waomani waliamishia makao makuu yao Zanzibar baada yakugombana wanandugu na wewe ukajibu ndio.hongera wasomi wetu tuleteeni maendeleo basi ktk taifa letu tzkwel ww pumbav dini imekufanya uwe fala mpaka unakataa ukweli.
kweli ww malay.a wa dini nahusika nini na upumbavu wenu wa majahazi na wazungu?Du!We kweli kiazi ulaya umekaririshwa tu mitaala yenu,nawe ukaimeza hivyohivyo kama ilivyo. binadamu anatokana nanyani ukasema ndio.waomani waliamishia makao makuu yao Zanzibar baada yakugombana wanandugu na wewe ukajibu ndio.hongera wasomi wetu tuleteeni maendeleo basi ktk taifa letu tz
Nina wasiwasi na jinsia yako nisije nikawa najibizana na askofu robinson wa jimbo kuu landankweli ww malay.a wa dini nahusika nini na upumbavu wenu wa majahazi na wazungu?
fucen...swain.Nina wasiwasi na jinsia yako nisije nikawa najibizana na askofu robinson wa jimbo kuu landan
Hayupo aliepinga ispokua kunakamchezo ktk historia kamechezwa.mfano ktk mji wa kilwa historia yake iliyoandikwa rasmi inasomeka ktk vitabu vingi tu iliyoandikwa kuanzia mwaka 905 na mwarabu ali masud.na mwingine alieandika ni ibin batuta ktk mwaka 1332 alipotembelea kilwa.lakini haukuti haya!sasa tuwaweke pembeni hawa labda kwakua nawao ni waarabu wameficha mambo.tuje kutumia akili tu zakuzaliwa kwanini hawa wazee wamekaa na waarabu kwazaidi ya miaka 500,hawakupigana nao? wakati walikua wanawafunga kama wanyama!lakini tu walipokuja wazungu wakaanza kupigana nao?Hahaaaaaa hata hili jina la kinjikitile litakuwa si sahihi kabisaaa...
Watu watofautishe FACTS na OPINIONS...
Sijawahi kuona mtu anapinga uwepo wa utumwa katika pwani ya Afrika mashariki yaani makumbusho ya masoko yote ya utumwa yaliyopo ;bado kuna mtu anaamini huu ni uzushi ilhali anakubali kuwa ukoloni ulikuwepo pasipo kujua kuwa utumwa ulikufa kutokana na maandalizi ya ukoloni katika Afrika......
Ukristu sio uzungu na uarabu si uislamu ...sijui ni nini kigumu watu kuelewa
Hayupo aliepinga ispokua kunakamchezo ktk historia kamechezwa.mfano ktk mji wa kilwa historia yake iliyoandikwa rasmi inasomeka ktk vitabu vingi tu iliyoandikwa kuanzia mwaka 905 na mwarabu ali masud.na mwingine alieandika ni ibin batuta ktk mwaka 1332 alipotembelea kilwa.lakini haukuti haya!sasa tuwaweke pembeni hawa labda kwakua nawao ni waarabu wameficha mambo.tuje kutumia akili tu zakuzaliwa kwanini hawa wazee wamekaa na waarabu kwazaidi ya miaka 500,hawakupigana nao? wakati walikua wanawafunga kama wanyama!lakini tu walipokuja wazungu wakaanza kupigana nao?
Na wamshukuru sana Mwl Nyerere kwa kutaifisha shule za wakristu... Yaani asingetaifisha, education gap kati ya waislamu na wakristu lingekuwa kubwa sana....mpk leo zanzibar wanatoa shule za mwsho 6/7 ktk top10 za shule zilizofanya vibaya.kusini ndo usiseme huko...21st C bado una na blaming game,hizo hazitawafikisha popote take initiatives...wacha porojo za kkoo huu co wakati wake.
Ngalikihija,Na wamshukuru sana Mwl Nyerere kwa kutaifisha shule za wakristu... Yaani asingetaifisha, education gap kati ya waislamu na wakristu lingekuwa kubwa sana....
Akina JK, Salim Ahmed Salim, Makamba na wengine, ni products za seminari...
Mkuu,Ngalikihija,
Unasema hayo kwa kuwa hujui historia ya juhudi za Waislam katika elimu.
Shule zumetaifishwa lakini haikubadili kitu.
Wizara ya Elimu imekuwa kikwazo kikubwa sana kwa Waislam.
fafanua hapo...ni kwa vipi wizara imekuwa kikwazo,mitihani ni ya aina moja,ni kwa vipihuwa wanajua huyu i Mkristo na huyu sio...je ktk kusahihisha mitihani ya kitaifa huwa wasahihishaji Waisilamu huwa hawachukukiwi?.Ngalikihija,
Unasema hayo kwa kuwa hujui historia ya juhudi za Waislam katika elimu.
Shule zumetaifishwa lakini haikubadili kitu.
Wizara ya Elimu imekuwa kikwazo kikubwa sana kwa Waislam.
hata wizara ukipewa wewe uongoze utarudi tena hapa kutoa povu..nyinyi ni watu wa kulalamika popote pale duniani.huu sio wakati wa blaming gameNgalikihija,
Unasema hayo kwa kuwa hujui historia ya juhudi za Waislam katika elimu.
Shule zumetaifishwa lakini haikubadili kitu.
Wizara ya Elimu imekuwa kikwazo kikubwa sana kwa Waislam.
Ngalikihija,Mkuu,
Tatizo lako kubwa lipo hapa.. Waislamu wanaonewa, na wanaowaonea ni wakristu, has RC
Kwa mtazamo huu, kila jambo ni mnaonewa tu.. Kila thread unayoianzisha, INA MAUDHUI YA WAISLAMU KUONEWA... Yaani kama akina mama wanavyolalamikia mfumo dume, NYIE MNALALAMIKIA MFUMO KRISTU
Mkuu sio hivyo unavyofikia,historia ya maarufu walioipigania nchi lazima iwekwe wazi ili vizazi vijavyo wajue nini kimetokea wakati wa utawala wa kikoloni,..ndio anaona.cha muhim sana kurithisha watoto. mkuu watu dizain hii wala usihangaike nao maana ndivyo alivyo ni nature yao.
Ukweli ni huo Mkuu,wanazizika hadithi na stori muhimu za machifu wa Tanzania kwa kuogopa kuwa kuwasifia inawaza kuleta muako wa kidini au kikabila katika jamii..,Chabuso,
Nimekusoma...
Kwa iyo unatakaje ww? Au unataka kusema nn hasa?
Sultani Abdulrauf Songea Mbano
Kibao kimeandika jina lake kama ''Lwafu'' Nduna Mbano
Kaburi la Sultani Abdulrauf Songea Mbano
Kwa miaka mingi sana na hadi leo jina la Sultani wa Wangoni Abdulrauf Songea Mbano Jemedari wa Wangoni katika Vita ya Majimaji, jina lake la ‘’Abdulrauf’’ moja ya sifa za Allah ikiwa na maana ‘’Mwenye Huruma,’’ lilikuwa halifahamiki kwa wengi na wanahistoria kwa sababu zao hawakutaka kulisema lijulikane kama vile wengi hawajui kuwa Sultani Mkwawa jina lake ni ''Abdallah.''
Tukija katika historia ya miaka ya karibuni zaidi si wengi wenye kujua kuwa Kleist Sykes jina lake ni Abdallah, au Schneider Plantan jina lake ni ''Abdillah.''
Kaburi la Kleist Sykes
Tunaweza tukasema kuwa haya yote ni matatizo ya ukoloni. Lakini swali linakuja iweje hata baada ya ukoloni kutoweka ikabakia historia yetu hatuiweki sawa?
Leo gazeti la ''Habari Leo,'' (28 Februari, 2018) ukurasa wa mbele imetoka picha ya kaburi la Sultani Abdulrauf Songea Mbano jina linalosomeka katika kaburi hilo ambalo ni la Kiislam ni ‘’Songea Mbano,’’ na jina lake halisi ''Abdulrauf,'' halipo.
Laiti kama Sultani Abdulrauf asingezikwa katika kaburi la Kiislam mengi katika historia ya Majimaji yasingelipata ushahidi madhubuti ukizingatia kuwa katika wale majemedari walionyongwa na Wajerumani, majina yao ya Kiislam yalifutwa yakawekwa mengine.
Atakae kusoma zaidi kuhusu historia hii aingie hapo chini:
- Mohamed Said: SULTAN ABDUL RAUF BIN SONGEA MMOJA WA MAJEMADARI WA VITA VYA MAJI MAJI NDIYO HUYU SONGEA MBANO?
- Mohamed Said: KUTOKA JF: MAJEMADARI WA VITA VYA MAJI MAJI - SULTAN SONGEA BIN RAUF NA SHEIKH SULTAN MATAKA BIN HAMIS MASSANINGA
- Mohamed Said: KUTOKA JF: UCHAKACHUAJI WA MAJINA YA KIISLAM KATIKA HISTORIA YA VITA VYA MAJI MAJI
- Mohamed Said: MAREHEMU SHEIKH ILUNGA HASSAN KAPUNGU MAKALA YAKE KUHUSU VITA VYA MAJI MAJI
Ha Ha Ha Ha Eti Mkwawa Muislamu Acheni Ujinga Basi Wahehe Na Wabena Wote Wangekuwa Waislamu
Eddy,Ha Ha Ha Ha Eti Mkwawa Muislamu Acheni Ujinga Basi Wahehe Na Wabena Wote Wangekuwa Waislamu