Jina lake ni Abdulrauf Songea Mbano siyo Songea Mbano Sultani wa wangoni wakati wa vita vya Majimaji 1905 - 1907

Yap,bado wamelala aka "mambumbu"...
Chabuso,
Zanzibar haijapatapo kulala hata siku moja kuanzia mapinduzi hadi leo.

Kwa kuwa wananchi wa Zanzibar hawajalala ndiyo unavyoona nini huwa
wanafanya kila wanapokwenda kwenye uchaguzi kuanzia ule wa kwanza
1995 baada ya kurejeshwa vyama vingi hadi wa 2015.

Wazanzibari wameonyesha nguvu yao kupitia sanduku la kura na wenyewe
wanasema hata kama wataamshwa usiku wa manane kupiga kura watapiga
kama wanavyopiga siku zote na watashinda kama wanavyoshinda siku zote.

Labda kitu cha kujiuliza ni imekuwaje hali imekuwa hivi juu ya vikwazo vyote
wanavyowekewa wameweza kuvikabili na kuvishinda?

Nini siri ya Wazanzibari?
Nguvu hii inatokana na nini?
 
We mtu anaitwa lwafu we unambatiza LA kwako nyie watu ndo maana mwinyi aliwaambia ukweli mkasema kawa hasi
 
Nafrikiri siri ya wazanzibari ni umoja wao,tangu mtoto anazaliwa anapewa hadith za nini kilitokea Zanzibar kuanzia wakati wa Usultani,nini kimetolea wakati wa mapindizi,History ni sehemu kubwa ya uwezo wa binadamu kujua wapi alikotokea na wapi anaelekea...

Vikwazo gani wanawekewa wazanzibari???,nusu ya wazanzibari wanaishi ughaibuni,wazanzibari wachace sana wanaotegemea kibato kutoka Zanzibar...,naona hiyo ndio siri yao ya kuweza kumudu vikwazo wanavyowekewa
 
 
Chabuso,
Wazanzibari wanathamini nchi na utaifa wao.
Hii ndiyo nguvu yao.
 
Unataka kuniambia Watanganyika hawathamini utu na utaifa wao..
Chabuso,
Singependa mimi niseme lolote katika tatizo linalowahusu Wazanzibari.

Ningependa wewe mwenyewe ukae kitako na utazame hali ya siasa
visiwani khasa katika chaguzi zote tano zilizopita.
 
SULTAN MATAKA WA KABILA LA WAYAO AELEZEA NGOMA YA MKOMAULA INAYOCHEZWA NA KABILA HILO MOJAWAPO LA MKOA WA RUVUMA
  1. Matambiko, mila, desturi, nembo na 'mikoba+zana' za enzi mababu na mababu mikononi mwa Chifu Mataka
  2. Maoni ya Chifu Mataka kwa wale wasiozingati asili na mila zao
  3. Tambiko la mvua
  4. Tambiko la uzazi kupata watoto
  5. Tambiko la amani
  6. N.k
Source: Ruvuma TV
 

= Waarabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…