lukubuzo Samsis
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 2,920
- 3,388
umenena vema.muda ni rafiki mzuri.Yap,bado wamelala aka "mambumbu"...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umenena vema.muda ni rafiki mzuri.Yap,bado wamelala aka "mambumbu"...
Time alone time will tell,...umenena vema.muda ni rafiki mzuri.
Chabuso,Yap,bado wamelala aka "mambumbu"...
Nafrikiri siri ya wazanzibari ni umoja wao,tangu mtoto anazaliwa anapewa hadith za nini kilitokea Zanzibar kuanzia wakati wa Usultani,nini kimetolea wakati wa mapindizi,History ni sehemu kubwa ya uwezo wa binadamu kujua wapi alikotokea na wapi anaelekea...Chabuso,
Zanzibar haijapatapo kulala hata siku moja kuanzia mapinduzi hadi leo.
Kwa kuwa wananchi wa Zanzibar hawajalala ndiyo unavyoona nini huwa
wanafanya kila wanapokwenda kwenye uchaguzi kuanzia ule wa kwanza
1995 baada ya kurejeshwa vyama vingi hadi wa 2015.
Wazanzibari wameonyesha nguvu yao kupitia sanduku la kura na wenyewe
wanasema hata kama wataamshwa usiku wa manane kupiga kura watapiga
kama wanavyopiga siku zote na watashinda kama wanavyoshinda siku zote.
Labda kitu cha kujiuliza ni imekuwaje hali imekuwa hivi juu ya vikwazo vyote
wanavyowekewa wameweza kuvikabili na kuvishinda?
Nini siri ya Wazanzibari?
Nguvu hii inatokana na nini?
We mtu anaitwa lwafu we unambatiza LA kwako nyie watu ndo maana mwinyi aliwaambia ukweli mkasema kawa hasi[/QU
Leo nimekunyambulia kutoka post yangu huko nyuma:
''Eyce,
Unasema hayo kwa kuwa huijui historia ya Maji Maji.
Nami wala sikulaumu nitakachofanya ni kukuonyesha ili uifahamu historia ya watu hawa.
Nakuwekea hapa nukuu kutoka kwa wanahistoria Wazungu walivyomwandika Songea Mbano
tena kwa kumtaja kwa jina la Rauf:
''This letter written to Sheikh and Sultan Mataka bin Hamin Massaninga reads:
Sultan Songea bin Ruuf writes: To the Shaykh and Sultan Mataka bin Hamis Massaninga. Greetings, etc. I am sending you a letter through Kazembe. We have received an order from God that the Europeans must leave the country. We are in the process of fighting them here. I believe that we have long since been reconciled,[so] send me your children, so that we may make an alliance. I had wanted to send you some cattle as a gift, but am not able to
do so, as the war which God desired is continuing. Send me a hundred riflemen, and support me in storming the Boma (Songea).
I am also sending you a flask of the Prophet Muhammad, which contains the means for conquering the Europeans. Have no doubt about it, it possessed great power. And when we have taken the Boma (Songea), we shall go on the stations on the Nyasa together, you and I. Now, let us forget our old quarrels.
This bottle, with a da’wa, has been sent by Chinyalanyala himself, the war leader. He also sends the container (kombe), and sends you many greetings.
If your men will come, then Chinyalanyala himself will come and will give you many of the holy things.
Hassan bin Isma’il greets you.
Many salutations,
Sultan Songea bin Ruuf.” [1]
Chabuso,Nafrikiri siri ya wazanzibari ni umoja wao,tangu mtoto anazaliwa anapewa hadith za nini kilitokea Zanzibar kuanzia wakati wa Usultani,nini kimetolea wakati wa mapindizi,History ni sehemu kubwa ya uwezo wa binadamu kujua wapi alikotokea na wapi anaelekea...
Vikwazo gani wanawekewa wazanzibari???,nusu ya wazanzibari wanaishi ughaibuni,wazanzibari wachace sana wanaotegemea kibato kutoka Zanzibar...,naona hiyo ndio siri yao ya kuweza kumudu vikwazo wanavyowekewa
Unataka kuniambia Watanganyika hawathamini utu na utaifa wao..Chabuso,
Wazanzibari wanathamini nchi na utaifa wao.
Hii ndiyo nguvu yao.
Chabuso,Unataka kuniambia Watanganyika hawathamini utu na utaifa wao..
OkMola amrehemu Sheikh Ilunga Hassan Kapungu...
Nilikua na muadmire sana.
Uwezo wake wa kujenga na kuwasilisha hoja.
Na ujasiri aliokua nao.
Ndo hapo ambapo nimemshangaa waalabu wamemkuta mkwawa akiwa mtu mzima sana, toka udogo wake mpaka anajiuwa watu wake walimfahamu kwa jina la mkwava...hilo la kiarabu walipeana wenyewe labda na wakaitana wenyewe lakini halikuwa official name...sasa mkwawa na Songea wanapoenziwa kwa majina yao halisi mtu analeta nongwa