Jina lako Limeandikwa Moyoni Mwangu Atoto

ibra87

R I P
Joined
Jul 22, 2015
Posts
5,614
Reaction score
5,351
Habari za jioni wana jamii Naju
a Wapo Wengi Wanao Pigana Vikumbo Huko Pm Kukuwania Wewe... Najua Umeshatamkiwa Sana neno nakupenda na Bado Unaendelea Kumtakiwa Kila Siku Iendayo Kwa Mungu. Wapo Wanao Maanisha Kweli na Wengine Ni Wale Wanao Kujaribu Ili Kukujua Msimamo Wako Ukoje. Dear Atoto sikufundishi Jinsi Ya Kuishi na Wala Sikuchagulii Mtu wa Kua nae bali Ninachotaka kusema Hapa ni Kile Ninacho Jisikia Toka katika Moyo, Roho na Akili Yangu. Sitaki Kusema Kuwa Hata Mimi Nakupenda na Wala Sitaki Kukataa Kuwa Sikupendi Bali Ninachotaka Kuzungumzia Hapa Ni Kipi Moyo na Nafsi Yangu vinaniambia... Dear Atoto Jina Lako Limeandikwa Katika Moyo na Roho Yangu, jina lako limewekwa na Kufichwa Katikati Ya Moyo Na Roho Yangu... Natamani Kuiona Sura Yako na Natamani Kuisikia Sauti, natamani Kukushika mkono na Natamani Kukwambia Kitu Muhimu, Kitu Ambacho Kitakufanya Utambue Kuwa Wewe ni Mtu Muhimu kwa Watu Muhimu.... Sitaki Kusema Nakupenda Kwa Kuwa Yupo MANGA ML na Sitaki Kusema Sikupendi Kwa Kuwa Yupo Mkuu ELI79. Ninachotaka Kukisema Hapa na Kukufikishia Wewe Huu Ujumbe Ni Kwamba Ishi Ukiamini kwamba wewe ni bora Kuliko Mwingine na Una Maisha Yako Tofauti Na Haya Unayoishi Humu ndani... Natambua Kuna Mengi ya Kukukwaza na Kukuuzi Huko Pm Pia Natambua Kuwa huwa Unaumizwa na Kukerwa na Baadhi Ya Kauli Za WanaJf Wanaokufuata Pm Hasa Pale Unapowaambia Ukweli kuhusu Misimamo Yako.... Dear Atoto Naandika Ujumbe Huu Nikiwa Naamini na Kutambua Kuwa Bila kukuona Wewe Na Michango Yako Katika Mada husika na Ucheshi Wako kwa Baadhi Ya Watu, Basi Usingeniona Ibra87 Humu ndani.. Kusema Ukweli Toka Ndani Ya Moyo Wangu na Akili Yangu Ni Kwamba Tokea Siku Ya Kwanza Kukuona Humu Jf Nililiandika Jina Lako Katika Moyo,roho na Akili Yangu... Kama Dada,mama,ndugu, rafiki na Mtu Muhimu sana Katika Upande Wangu. Najua Wengi Mtajiuliza na Wengine Mtasema Lakini Daima Huo ndiyo Ukweli Wangu....

Ahsanteni kwa kunisoma

na pia naomba kuwasilisha
 
hahhaha mpaka wanaandika hilo jina ulikua umelala!?? tafuta kifutio mapema...
 
Hivi humu ndani kuna uwezo wa kuonana maana mimi sijui wandugu...
 
atoto weeeeeeeeeee!!! Uko wapi njoo huku, shem darling Manga ML upooooooooo? Embu njoo huku, my hubby Eli79 mimi na wewe hatudhuriani embu njoo huku uone chimbo lako la zaman najua viparticles vya upendo vipo bado, kyutiiiiii biiiiiiiiiiiii njoo mama uone huku nduguyo ametangaziwa nia,njoo cute b mama.....
 
Last edited by a moderator:

Umefanya la Maana Sana Shem
 
Last edited by a moderator:

Darling naona mtongozo wa ibra umeshindwa huko PM sasa kaamua liwalo na liwe humu sebuleni..hahaha!!
 
Last edited by a moderator:
Darling naona mtongozo wa ibra umeshindwa huko PM sasa kaamua liwalo na liwe humu sebuleni..hahaha!!

Mkuu Jina Limeandikwa Kiurafiki Sasa Mtongozo Unatoka Wapi?
 
Darling naona mtongozo wa ibra umeshindwa huko PM sasa kaamua liwalo na liwe humu sebuleni..hahaha!!

Hahahhahahahhaahha! !!! Acha tu darling kumbe nia ya ile thread ndo hii ? Tatizo sweet sikuhizi umeacha kutoa mafunzo ya Jando ndo maana vijana wanamiss....embu mpe jisomo na yeye ajiokoteamo kamrembo kupayuka hivi kwa mwanaume siyo pouwa!!!!
 
Hahahhahahahhaahha! !!! Acha tu darling kumbe nia ya ile thread ndo hii ? Tatizo sweet sikuhizi umeacha kutoa mafunzo ya Jando ndo maana vijana wanamiss....embu mpe jisomo na yeye ajiokoteamo kamrembo kupayuka hivi kwa mwanaume siyo pouwa!!!!

Hisia Na Uhuru Wa Kuongea ni Popote Shem, Kumwambia Mtu Unavyojisikia Kupitia hadharani ni Bora Kuliko Pm. Mwanaume wa Kweli Haogopi Macho ya watu... Jifunze na Wewe kuanzia Leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…