Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3] [emoji10] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ha Ha Ha balala hilo litamuhusu atoto mwenyewe[emoji4]
Ha Ha Ha sina Hakika.Kumbe atotoo ndio espy?
R.i.p ibra87.
Unaona sasa balaa ulilolifukua!!!
Muongeze ndo nini kufukua makaburiAcha umbea!!!
Huu msiba kuna mahali umelezwa mana nasikia juu juu tuPoleee kwa msiba mzito Dear dada!
Duu nenda mwana kwenda tupo nyuma yakoHisia Zangu kwako ni Zaidi Ya Penzi La Diamond Kwa Zarina na Tiffa... Nina mahaba mazito Juu Yako Kama wewe Unavyoipenda Ccm. Na Sitaacha kusema Popote pale Kuwa Jina Lako Nimeliandika Moyoni Mwangu na wakulifuta Hakuna Zaidi Ya Kifo..
Kuna uzi wake humu Ibra kashatangulia mbele za haki! japo kwenye uzi kuna pahala panatia "ukakasi"kidogoHuu msiba kuna mahali umelezwa mana nasikia juu juu tu
Ukakasi kivipi mkuuKuna uzi wake humu Ibra kashatangulia mbele za haki! japo kwenye uzi kuna pahala panatia "ukakasi"kidogo
Sheikh... labda itokee tu sheikh...Swadakta hommie, kuhusu utaratibu......kabla ya 40 inaruhusiwa?
Sheikh... labda itokee tu sheikh...
Itabidi nimsukume tu adondokee huko pm kama bailojia yake haitaguswa kujongea yenyewe.Yaani kumbe huu msiba wa mwenzetu umetugusa kitofauti tofauti sana
RIP Kamanda
espy njoo PM kwa ajili ya faraja mujarab
mwombe Miss Natafuta akusindikize, akisadiwa na Heaven sent na Daby
Dahhhhh dahhhhh