Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Nakuja Shem Niwekee Changu Chumbani
Mie nikajua kwa muda ulokaa milembe now una nafuu, kumbe ndio hali inazidi kuwa mbaya!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuja Shem Niwekee Changu Chumbani
Mie nikajua kwa muda ulokaa milembe now una nafuu, kumbe ndio hali inazidi kuwa mbaya!!!
Sio vizuri ivooo.
Hahahaaaa! Huyu ni shemeji yangu ndugu yake mume wangu, ila tushatibu mpaka tumechoka.
Mie nikajua kwa muda ulokaa milembe now una nafuu, kumbe ndio hali inazidi kuwa mbaya!!!
Mmmh!!! nimekaa milembe tena
Sio vizuri ivooo.
Wewe ndiyo Unanipa kichaa Atoto na Hii baridi ya Huku Uziguani ntakoma
Hahahaaaa! Huyu ni shemeji yangu ndugu yake mume wangu, ila tushatibu mpaka tumechoka.
muache ipo siku Atakuja tu lakini atakuwa Ameshachelewa
Haaa!
Mapya haya
Nileteeni huyo mgonjwa nimtibu bure
Alafu bwana shemeji sijui ilikuwaje nikakusahau aisee, yaani kesho hasubuhi na mapema tunamleta.
Atasumbua shee ngoja tamfuata mwenyewe na mayanga
Nibebee hiki kifaaView attachment 280324ni scanner ya kiasili
Sio vizuri ivooo.
muache ipo siku Atakuja tu lakini atakuwa Ameshachelewa
Yani nita mtelekeza au ataamua tu sahau kabisa haachwi mtu au subili nife kama kurithiana bado kupo
Mhuuu! atoto huyu shemeji kaja juu kama motto wa kifuu!
Nilitaka amwambie anampenda pia!!
Una swali lingine?