Jina lako Limeandikwa Moyoni Mwangu Atoto

Hisia Na Uhuru Wa Kuongea ni Popote Shem, Kumwambia Mtu Unavyojisikia Kupitia hadharani ni Bora Kuliko Pm. Mwanaume wa Kweli Haogopi Macho ya watu... Jifunze na Wewe kuanzia Leo

Kumbe !!!!. ....Nakupenda ibra87 siwezi ishi bila ww.

Cc Eli79
 
Last edited by a moderator:
Hahahhahahahhaahha! !!! Acha tu darling kumbe nia ya ile thread ndo hii ? Tatizo sweet sikuhizi umeacha kutoa mafunzo ya Jando ndo maana vijana wanamiss....embu mpe jisomo na yeye ajiokoteamo kamrembo kupayuka hivi kwa mwanaume siyo pouwa!!!!

Hahahaha... hali imekuwa mbaya kijana kaona amwage mchele tu, sijui kachora ka tattoo ka atoto, manake hiyo mistari alivyoishusha ni hatari...! Ngoja ajifunze mwenyewe, wakati mwingine inabidi tuwaache vijana wajifunze, akijikata leo na kiwembe, kesho atakuwa makini.
 
Last edited by a moderator:

My ex mke mwenza kwa umbea sikuwezi!! Ulipoteaaaa ila kwa hili ulivyokuja baruuuu!!
 
Last edited by a moderator:

Yaani ole wako unipeperushie ndege wangu maana wewe nakujua kwa fitna.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…