Jina lako Limeandikwa Moyoni Mwangu Atoto

Nipo hapa dada yangu namchekii tuu huyuu ibra anayeviziaa vilivyopendezeshwaa na shem wangu Manga ML.

Hahahaaaa!! Ukimuona huyo shem wako mwambue hali sio shwari kwakweli.
 
Last edited by a moderator:
Wacha hizi bana. Ligi yako kubwa, senior residents tu ndio wanakuweza. Naweza kwenda nao toe to toe, ila heshima tu. Halafu umeanza mwenyewe habari za ajabu kuniita mdogo wako, huko pm unataka nije nikuambie nini?

Kwahiyo dada yako sio special?? Daaah hili balaa hili, ukuje uniambie shule inaendeleaje maana nina mashaka kama kweli unasoma mdogo wangu.
 
sasa cute b raha si tulipata wote, ila usijali w'end hii njoo jumba la dhahabu tufanye yetu then nitakutoa, niaminie mrembo, ila uage kama siku ile asije akajua huyo mtu wako @su...
 
Last edited by a moderator:
sasa cute b raha si tulipata wote, ila usijali w'end hii njoo jumba la dhahabu tufanye yetu then nitakutoa, niaminie mrembo, ila uage kama siku ile asije akajua huyo mtu wako @su...

Habari nimeipata cute b anacode...
Utanata...
 
Last edited by a moderator:
Yaani cute b yule kalumanzila anakubana hadi usiku wa manane ndio unaingia humu!! Au ndio mlikuwa mnaamka kwenda kazini?

Nilikuwa na pacha wangu everlenk tunaangalia game yetu ya man u...
Ilivyoisha ndio nikaja mamy
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nataka umtafutie dawa ile ya mizizi inaitwa kukwakunghereeeeb ili cute b na atoto watulie sasa....

Nakuamin sana mzee mshana jr

Heheheeeee humjui mshana jr vizuri wewe ataleta dawa ya mimi kukutorokaa usikuu niende kwake
 
Last edited by a moderator:
sasa cute b raha si tulipata wote, ila usijali w'end hii njoo jumba la dhahabu tufanye yetu then nitakutoa, niaminie mrembo, ila uage kama siku ile asije akajua huyo mtu wako @su...

Leo nitaaga naenda kwa bibi.. ikifika hiyo siku nakujaa...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…