Kweli mkwe. Lile jingine tu kuna watu wananipigiaga simu wanajua mi ndo yule mdada maarufu mwenye lile jina ambalo unalijua na wewe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wacha wewee!!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2] [emoji2] [emoji2] saafi kabisaa!kumbe wewe ni mixa muislamu!
Ndio mkwe. Baba angu muislam japo sijamwagiwa maji..[emoji2] [emoji2] [emoji2] saafi kabisaa!kumbe wewe ni mixa muislamu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Familia zetu hizi mixa kila kona yaani Mimi mama angu mkristo basi acha tu ndugu yangu!!!
Mimi mama mkristo ,upande wa baba wanaonaga wenyewe ndio dini yao ya kweli jamanii,wanaume naowapataga ni wakristo sijui itakuwaje hiyo ndoa ,ndio maana hatuolewi kisa familia hizi na mambo ya diniFamilia zetu hizi mixa kila kona yaani Mimi mama angu mkristo basi acha tu ndugu yangu!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
yote hayo yako 😂😂
wakalishe chini wataelewa tu.... dini zote sizina muabudu mungu huyohuyo so me sioni tatizoMimi mama mkristo ,upande wa baba wanaonaga wenyewe ndio dini yao ya kweli jamanii,wanaume naowapataga ni wakristo sijui itakuwaje hiyo ndoa ,ndio maana hatuolewi kisa familia hizi na mambo ya dini
Sent using Jamii Forums mobile app