Jina lako linaanza na herufi gani?

Jina lako linaanza na herufi gani?

Familia zetu hizi mixa kila kona yaani Mimi mama angu mkristo basi acha tu ndugu yangu!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mama mkristo ,upande wa baba wanaonaga wenyewe ndio dini yao ya kweli jamanii,wanaume naowapataga ni wakristo sijui itakuwaje hiyo ndoa ,ndio maana hatuolewi kisa familia hizi na mambo ya dini

wakalishe chini wataelewa tu.... dini zote sizina muabudu mungu huyohuyo so me sioni tatizo
 
Back
Top Bottom