Jina lako linaanza na herufi gani?

Jina lako linaanza na herufi gani?

natilia mkazo hapa sijawahi date gal wa dini tofauti yani huwa hata ujasir wa kuwatokea nakosa automaticaly..

sasa kuna siku nikasema ngoja nijaribu alafu yani nikipima naona kabisa naona huyu hawezi chomoa ila cha ajabu nilikula kibuti hichooo acha tu since hyo siku sijawahi tena tongoza msichana tofauti na din yangu [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaaahaaa!! Komaa hapo hapo!usithubutu kumpenda wa dini tofauti mwisho ukizama utapata tabu mnoo!!

Bora umekula buti![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahah... daddy's girl [emoji23][emoji23] ungepata baba ambaye siyo muelewa angekata kichwa hicho [emoji23][emoji23]
Baba angu ananipenda mno ananisikiliza mno mimi sema ndugu zake tu,juzi hapa nimemtandika mdogo wake akikuwa ananichokoza halaf baba akaniambia safi sana akikuzingua mfinye tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom