Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,587
- 7,272
pole sana dada angu..... daaahMi nilitengwa 3yrs no communication with my dad!!Acha tuu!i can feel it my broh!mbaya sasa kila ananiependa kwa dhati ndo hao hao kina James,Wily,Jacob n.k huku kwa kina Ally,Salim,Rashid hakuna kitu zaidi ya utapelii!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutaenda kwa trump tunafungia huko [emoji23]wanapewa taarifa tu kitu tayarii,nikiamua kitu sijali ndugu kabisaa nafata moyo wangu[emoji2] [emoji2] [emoji2] ndoa ya serikali nishaambiwaga ni uzinzi mtupu hakuna kitu hapoo!nilifanyaga maamuzi magumuu!mnoo!!
Nyie mwawezana wenyewe!!+
Sent using Jamii Forums mobile app
Baba yako anapenda sana mahari au anapenda uwe unalala uchi kila siku?Last month my dad told me I want u to get ur life partner but Muslim not Christian again[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaahaaa!! Komaa hapo hapo!usithubutu kumpenda wa dini tofauti mwisho ukizama utapata tabu mnoo!!natilia mkazo hapa sijawahi date gal wa dini tofauti yani huwa hata ujasir wa kuwatokea nakosa automaticaly..
sasa kuna siku nikasema ngoja nijaribu alafu yani nikipima naona kabisa naona huyu hawezi chomoa ila cha ajabu nilikula kibuti hichooo acha tu since hyo siku sijawahi tena tongoza msichana tofauti na din yangu [emoji23][emoji23][emoji23]
Endelea kujaribu
Wakristo hawana shida,upande ule sasa jamani wana matatizo sanakuna dada fulan alikuwaga rafiki angu alitengwa na ndugu zake... nilimuonea huruma sana
😂😂😂😂😂 mzee baba bado kakazaLast month my dad told me I want u to get ur life partner but Muslim not Christian again[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3] [emoji3] [emoji3] nabiiTito
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] sio chizi hujali tu!!na kwenu hawana msimamo kwetu weee acha tuHalaf mim nikipenda binam madini siyafati nafata anakopenda Mpenzi wangu,G wangu hata akiwa mpagani nami hivyo hivyo yaan sijui mi chizi
Sent using Jamii Forums mobile app
nilikoma asee.... naacha nature ifanye kazi yake ya ile rule ya magnetic poles 😂😂Hahaaaahaaa!! Komaa hapo hapo!usithubutu kumpenda wa dini tofauti mwisho ukizama utapata tabu mnoo!!
Bora umekula buti![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimechoka kujaribuEndelea kujaribu
Aspirin sitaki vurugu!!!!ujue!!wajua wajua basi tuu!!wewe chichita weweee!!![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Basi sawa dear S.
نحنرش
Baba angu ananipenda mno ananisikiliza mno mimi sema ndugu zake tu,juzi hapa nimemtandika mdogo wake akikuwa ananichokoza halaf baba akaniambia safi sana akikuzingua mfinye tenahahahah... daddy's girl [emoji23][emoji23] ungepata baba ambaye siyo muelewa angekata kichwa hicho [emoji23][emoji23]
[emoji17] [emoji17] [emoji17]Benson [emoji4]
Benedict
Bruno
Babuu
Nshapoa yashaisha we r in good terms now wit ma dady!!pole sana dada angu..... daaah
Safi kabisaaTutaenda kwa trump tunafungia huko [emoji23]wanapewa taarifa tu kitu tayarii,nikiamua kitu sijali ndugu kabisaa nafata moyo wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
hatari sana....
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] si wajua wazee wetu hawa acha tu!Mimi sasa hivi sitamani hata kidogo akili ipo kwa babu Asprin[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Baba yako anapenda sana mahari au anapenda uwe unalala uchi kila siku?