Jina lako linaanza na herufi gani?

Jina lako linaanza na herufi gani?

Mada zako bwana [emoji3][emoji3][emoji16]yaani sijui wawazaga nini!!!
Mwisho humu utawajua watu kwa uhalisia wao!

Haya langu linaanzia J la nyumbani kwenye cheti cha shule S....!!!hapo vipi!halafu Leo second time nakua first replier kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
Anataka aunganishe Dots kwa Member anayemhisi ni flani so na huyo member akiingia kwenye mtego akataja kweli anaconclude.
 
Back
Top Bottom