Jina lako linaanza na herufi gani?

Jina lako linaanza na herufi gani?

Mada zako bwana [emoji3][emoji3][emoji16]yaani sijui wawazaga nini!!!
Mwisho humu utawajua watu kwa uhalisia wao!

Haya langu linaanzia J la nyumbani kwenye cheti cha shule S....!!!hapo vipi!halafu Leo second time nakua first replier kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
Jesca upo, habari za siku? [emoji3]

Mtu Mzito HEAVY WEIGHT
 
Back
Top Bottom