Jina langu halipo ktk chuo nilichochaguliwa

Madam zero

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2013
Posts
221
Reaction score
18
Hello,,,naomba msaada kwa hili,,nimepangiwa chuo na TCU/NACTE lakin jina langu halijawekwa katika website ya chuo ambacho nimechaguliwa ila marafiki zangu wote niliapply nao wao majina yao yapo,,je kuna tatizo lolote ktk registration pindi ntakapoenda kufanya?NB ktk profile yang ya selection TCU/NACTE inanionyesha hicho chuo nilichochaguliwa
 
sasa dadaa we utachaguliwaje na nacte n tcu... chuo gan kwan
 
Niliweka tcu/nacte hyo slash mins nimoja wapo ktk hzo..n cbe dsm wang
hatua ya kwanza fungua acc yako TCU/NACTE thn uiprint kma uthibitsho wa kwanza umechaguliwa!!! hata me ilintokea acc yangu tcu ilikua inaonesha nmechaguliwa LL.B bt kweny ku report info zao hazionesh kama npo LL.B ila International Relations.....niliprint hyo page ya tcu nkawapelekea ndo ikabidi wafuatilie kunibadlishia though ilitake tym
 

Asante wang ,-namaana sitasajiliwa mpaka wafuatilie huko?du kazi ninayo mbona
 
Asante wang ,-namaana sitasajiliwa mpaka wafuatilie huko?du kazi ninayo mbona
wala sio wafuatilie TCU/NACTE wanachohitaji ni kuamin kweli umechaguliwa au unataka kuzamia tu! mm yang ilikua ni tofaut na yako nlikua nko na course 2 tofauti (ya kwao=Intr Reltn na ya TCU=law) kilichochukua tym ni kubadili kutoka department moja had nyngne
 

Ok asante sanasana
 
Pole sana,hata mimi nina case kama yako ila cha msingi wasiliana na chuo then chuo kitawasiliana na TCU/NACTE,na hiyo ni errors tu ya chuo ktk kuaccess Nacte/TCU. Nitambua hili kwa sababu nilipowasiliana na tcu/nacte walidai wao hawapeleki majina ila ni chuo husika kuaccess ktk account yao kuangalia ni majina ya applicants waliopangiwa ktk chuo husika. Lakin kwa kukuthibitishia hili ndio maana ktka kila chuo kinalink na Tcu pia hata namna ya kila chuo kutoa majina ya waliochaguliwa kila chuo kina style yake,mf: UDSM all details included,lakin baadhi ni majina tu,vingine names and Addresses. Hitimisho: Fanya mawasiliano then jiandae kwa reg. cku itakapofika ila kwa yule anaetegemea Mkopo lazima afanye follow up kuhakikisha majina yanayotoka chuon to Loan Board linakuwepo.Ahsante.
 

Asante wang,,,,imefanya mawasiliano na chuo nilichochaguliwa wamesema kua huenda ikawa wamesahau tu ila hakuna shida yyte nijiandae tu na reg
 
hili tatizo pia limemkuta my young sister.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…