Pole sana,hata mimi nina case kama yako ila cha msingi wasiliana na chuo then chuo kitawasiliana na TCU/NACTE,na hiyo ni errors tu ya chuo ktk kuaccess Nacte/TCU. Nitambua hili kwa sababu nilipowasiliana na tcu/nacte walidai wao hawapeleki majina ila ni chuo husika kuaccess ktk account yao kuangalia ni majina ya applicants waliopangiwa ktk chuo husika. Lakin kwa kukuthibitishia hili ndio maana ktka kila chuo kinalink na Tcu pia hata namna ya kila chuo kutoa majina ya waliochaguliwa kila chuo kina style yake,mf: UDSM all details included,lakin baadhi ni majina tu,vingine names and Addresses. Hitimisho: Fanya mawasiliano then jiandae kwa reg. cku itakapofika ila kwa yule anaetegemea Mkopo lazima afanye follow up kuhakikisha majina yanayotoka chuon to Loan Board linakuwepo.Ahsante.