Jina langu halipo kwa walioomba kubadilishiwa shule

the hunterer

Senior Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
145
Reaction score
38
Mimi nina 1 ya 16 na nimepanga kusoma PCB lakini nimechaguliwa HGK Lindi sekondari. Nimeomba kubadilishiwa shule lakini nimekuwa kati ya wale ambao hawajabadilishiwa. Naombeni ushauri wana JF nifanyaje kwa huu muda uliobaki.

AKSANTE.
 
Mimi nina 1 ya 16 na nimepanga kusoma PCB lakini nimechaguliwa HGK Lindi sekondari.Nimeomba kubadilishiwa shule lakini nimekuwa kati ya wale ambao hawajabadilishiwa.Naombeni ushauri wana JF nifanyaje kwa huu muda uliobaki.AKSANTE.

je hiyo PCB imebalance? pia chunguza ufaulu wa unakota kuhamia uone kama una sifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…