the hunterer
Senior Member
- Jul 15, 2014
- 145
- 38
Mimi nina 1 ya 16 na nimepanga kusoma PCB lakini nimechaguliwa HGK Lindi sekondari. Nimeomba kubadilishiwa shule lakini nimekuwa kati ya wale ambao hawajabadilishiwa. Naombeni ushauri wana JF nifanyaje kwa huu muda uliobaki.
AKSANTE.
AKSANTE.