Jina mtoto wa kiume

Na rafiki zangu wanaitwa Eliya Hawa ubongo wao ni doubtful
Daima wanashauri usimpe mtoto jina kisa umemuona mtu flani amekuvutia au teseme umemkubar tabia au kipaji chake.
Huyo mtoto akikua atakuja kuwa kuvuta tabia zake sasa inakuja hatari kwa tabia zake hasi usizo zijua.

Angalia jina lenye maana nzuri au jina la kwenye bible ambalo kuna character alimpendeza Mungu nawe mpe mwanao kwa ukipenda mwanao ampendez Mungu likewise.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…