Gallop Ozzing
Member
- Oct 13, 2018
- 11
- 20
Ngiri katoka polini kahamia tumboni kwako😕kiukweli naumia sana hasa ninapokua na appointment na mwanamke tuka jigijigi nikiwa nafikilia sana kile kitendo Kabla atuja kutana kende zina shuka uume una nywea alafu chini ya kitovu kunauma sana nimekua na tatizo tokea nipo darasa la sita alikufikia hivi ila paka kipindi cha mawingu nilikua naumia tu chini kitovu bibi yangu ana nipa shubiri ila now alina muda maalumu msaada wenu nifanyeje na Tiba ni nn?
Jaribu kufika kwa wataalamu wa afya (hospital) ili waweze kukucheki kujua tatizo.
Mficha maradhi kifo humuumbua.
No akuna kinachotokea naona kawaida tuJaribu kujichunguz ukiwa unakohoa kwenye kende nini kinatokea then nijib
Matako ya nani?Acha uwongo