Jina na tiba ya huu ugonjwa ?

Jina na tiba ya huu ugonjwa ?

Huo ni woga tu unajipa hofu ya kutokuweza kumuhimili mwanamke.maana tukisema ngiri itakua sio sawa,ngiri inasumbua wakati wa baridi na wakati mwingine hata pasipo na vizuri,ila haisumbui wakati wa kufikiria tendo.acha kufikiria zinaa itakupeleka pabaya.nakushauri oa hayo yote yataondoka kwanza utamzoea mkeo na kukupelekea kujiamini.shukuru hivyo hivyo ilisinyaa mwisho wa zinaa moto kwatunaoamini.na wale wasioamini kama kiranga basi utaambulia ukimwi
 
😕kiukweli naumia sana hasa ninapokua na appointment na mwanamke tuka jigijigi nikiwa nafikilia sana kile kitendo Kabla atuja kutana kende zina shuka uume una nywea alafu chini ya kitovu kunauma sana nimekua na tatizo tokea nipo darasa la sita alikufikia hivi ila paka kipindi cha mawingu nilikua naumia tu chini kitovu bibi yangu ana nipa shubiri ila now alina muda maalumu msaada wenu nifanyeje na Tiba ni nn?
Ngiri katoka polini kahamia tumboni kwako
.Pole
 
Jaribu kufika kwa wataalamu wa afya (hospital) ili waweze kukucheki kujua tatizo.

Mficha maradhi kifo humuumbua.
 
una kila dalili za Ngiri na inapona kabisa hii, wahi hospitali
 
Back
Top Bottom