Jina Taifa stars libadilishwe, huenda lina gundu

choza choza

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2019
Posts
2,081
Reaction score
3,831
Hii ni mara ya pili mfululizo tunapigwa na Uganda uwanjani kwetu,
Tumebadili makocha lakini wapi
Tumebadili wachezaji lakini wapi
Labda tubadili jina halafu tuone.

Nb: hii timu icheze kimya kimya tuu, yakishaingia mambo ya hamasa tuu, tunapigwa.

Ama tumlete Pep Guardiola aje aifundishe
 
FkVSGguUUAEVNFd.jpeg
 
Kubadili kikombe wakati chai ni ile ile ni kazi bure.
 
Hii ni mara ya pili mfululizo tunapigwa na Uganda uwanjani kwetu,
Tumebadili makocha lakini wapi
Tumebadili wachezaji lakini wapi
Labda tubadili jina halafu tuone.

Nb: hii timu icheze kimya kimya tuu, yakishaingia mambo ya hamasa tuu, tunapigwa.

Ama tumlete Pep Guardiola aje aifundishe
Uvundo upigwe pafyum ili usitoe harufu sio?
 
Watoe hiyo stars....waache Tanzania tuu
 
Hii ni mara ya pili mfululizo tunapigwa na Uganda uwanjani kwetu,
Tumebadili makocha lakini wapi
Tumebadili wachezaji lakini wapi
Labda tubadili jina halafu tuone.

Nb: hii timu icheze kimya kimya tuu, yakishaingia mambo ya hamasa tuu, tunapigwa.

Ama tumlete Pep Guardiola aje aifundishe
Una hoja
 
Back
Top Bottom