choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,081
- 3,831
Hii ni mara ya pili mfululizo tunapigwa na Uganda uwanjani kwetu,
Tumebadili makocha lakini wapi
Tumebadili wachezaji lakini wapi
Labda tubadili jina halafu tuone.
Nb: hii timu icheze kimya kimya tuu, yakishaingia mambo ya hamasa tuu, tunapigwa.
Ama tumlete Pep Guardiola aje aifundishe