But remember, anything in court to be accepted as evidence for someone to be convicted, must be proven beyond reasonable doubts.Anything u say or do can be evidence against u in court
Ili kosa la jinai liweze kumtia mtu mbaroni lazima kuwe na proof ya dhamira plus kitendo unless iwe ni strict liability. Hivyo basi evidence ndio itakayoamua whether huyo mtu alimuua kweli au la, lakni kama hakuna ushahidi wa kutosha huwezi mfunga mtu kwa kauli tu ya kumtisha mtu then umfunge kwa murder labda kwa assault.Wataalam wa Sheria tuwekane sawa hapa.
Hivi, Sheria za Jamhuri yetu zinasemaje kwa mtu kuwa na dhamira ya kumdhuru mwingine lakini akitegemea kumshirikisha Mungu?
Pili, Ikitokea Ushahidi wa Nia ya kuitekeleza jinai husika upo wa kutosha na madhara yakatokea kweli baadae
(Jinai kutimilika) hapo napo inakuwaje?
Haiwezekani kumstaki alieonyesha nia ya kuitekeleza jinai hiyo.
Mfano,
Mtu atoe kauli:
"Haki ya Mungu,
Namuomba Mungu wewe mwezi huu hauishi tunakuzika"
Na ikatokea kweli ndani ya Mwezi Mtu kafa,
Sheria inasemaje hapo,
Mtoa kauli hiyo hawezi kushtakiwa?
Tupeni Elimu wajuvi watu.
Inakuwaje iwapo Ushahidi wa dhamira ukiwa dhahiri?Ili kosa la jinai liweze kumtia mtu mbaroni lazima kuwe na proof ya dhamira plus kitendo unless iwe ni strict liability. Hivyo basi evidence ndio itakayoamua whether huyo mtu alimuua kweli au la, lakni kama hakuna ushahidi wa kutosha huwezi mfunga mtu kwa kauli tu ya kumtisha mtu then umfunge kwa murder labda kwa assault.
Najua unaanza kumwandalia mashitaka yule kiongozi flan wa dini aliyemwambia yule mama kuwa mwaka hauishi na ule mdomo hautatema tena cheche za kitusi. Sawa ila, na huyo mwendesha mashitaka ni yupi aliye tiyari kuhatirisha naye uhai wake? Kama atamuondoa huyo mama si anamuondoa pia muendesha mashitaka na pengine hata atakayetumwa kumkamata? Sidhani kuna aliye tiyari kuhatirisha maisha yake
Wataalam wa Sheria tuwekane sawa hapa.