funluverx
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 480
- 343
Wataalam wa Sheria tuwekane sawa hapa.
Hivi, Sheria za Jamhuri yetu zinasemaje kwa mtu kuwa na dhamira ya kumdhuru mwingine lakini akitegemea kumshirikisha Mungu?
Pili, Ikitokea Ushahidi wa Nia ya kuitekeleza jinai husika upo wa kutosha na madhara yakatokea kweli baadae
(Jinai kutimilika) hapo napo inakuwaje?
Haiwezekani kumstaki alieonyesha nia ya kuitekeleza jinai hiyo.
Mfano,
Mtu atoe kauli:
"Haki ya Mungu,
Namuomba Mungu wewe mwezi huu hauishi tunakuzika"
Na ikatokea kweli ndani ya Mwezi Mtu kafa,
Sheria inasemaje hapo,
Mtoa kauli hiyo hawezi kushtakiwa?
Tupeni Elimu wajuvi watu.