zacha
JF-Expert Member
- Feb 28, 2009
- 1,205
- 1,880
Tunakumbuka ile Kampuni iliyoingia hapa Tz ya G sport ilivyo kwishineyiiii, basi ile kitu nd' inainyemelea ttcl kwa sasa kwani kampuni hiyo kutokana na unyonyaji wake wa gharama kubwa za internet kwa wateja wake lakini bado inashindwa kusimama hadi kupelekea kuomba mkopo kwa mamlaka huska, na kama haitapewa huo mkopo ndani ya miezi sita basi inaweza kukumbwa na jinamizi lililoikumba kampuni ya G sport.................... to be continued