Jinamizi la G sport la inyemelea TTCL

Jinamizi la G sport la inyemelea TTCL

zacha

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2009
Posts
1,205
Reaction score
1,880
Tunakumbuka ile Kampuni iliyoingia hapa Tz ya G sport ilivyo kwishineyiiii, basi ile kitu nd' inainyemelea ttcl kwa sasa kwani kampuni hiyo kutokana na unyonyaji wake wa gharama kubwa za internet kwa wateja wake lakini bado inashindwa kusimama hadi kupelekea kuomba mkopo kwa mamlaka huska, na kama haitapewa huo mkopo ndani ya miezi sita basi inaweza kukumbwa na jinamizi lililoikumba kampuni ya G sport.................... to be continued
 
Nilidhani umeandika g spot!
 
...who sayz so?
 
Kama unaona TTCL inakunyonya...si uhamie kwingine???ndio maana ya soko huria.....nenda hata Vodacom au kwingineko
 
Back
Top Bottom