Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Aiseh Bas sawa!!... ebu ni-gugo Jingle bells kwanza.!
Uongo mtupu. Weka source hii chai yako hapa. Unajisikia raha sana kuandika uongo?Ikifika kipindi Cha mwisho wa mwaka December nyimbo za Christmas upigwa ila nyimbo kubwa zaidi ya jingle bell.
Nyimbo hii ilitengenezwa makusudi kwa watumwa weusi waliokuwa wakifungiwa kengele Ili wasitoroke.
Baadhi ya Waafrika husherehekea wakati wa Krismasi
Ni kile wanachoweka kwa mababu wa Kiafrika ili wasitoroke.
Mara tu wanapojaribu kutoroka, hufanya kelele mara moja.
Mwafrika anaimba wimbo huo na kuusherehekea pamoja na wazungu
Bila kujua wanaimba kushangilia jinsi mababu wa Kiafrika walivyoteseka.View attachment 2749805
Umeenda kuuliza kesi ya nyani kwa nyaniUongo mtupu. Weka source hii chai yako hapa. Unajisikia raha sana kuandika uongo?
UONGO pia kaziUongo mtupu. Weka source hii chai yako hapa. Unajisikia raha sana kuandika uongo?
tuendelee hivi hivi kibubu bubu mbona fresh tuJamiiforum wezesheni kuina video na picha katika app
Tumia webJamiiforum wezesheni kuina video na picha katika app
kwa hiyo wewe ulimuuliza nani?Umeenda kuuliza kesi ya nyani kwa nyani
Wavaa kobazi wako vizuri sana kutunga hekaya za Abunuasi zilizojaa upotoshaji. Nilimsikia hata mmoja akiwapotosha wenzake juu ya historia ya Valentine Day.Ikifika kipindi Cha mwisho wa mwaka December nyimbo za Christmas upigwa ila nyimbo kubwa zaidi ya jingle bell.
Nyimbo hii ilitengenezwa makusudi kwa watumwa weusi waliokuwa wakifungiwa kengele Ili wasitoroke.
Baadhi ya Waafrika husherehekea wakati wa Krismasi
Ni kile wanachoweka kwa mababu wa Kiafrika ili wasitoroke.
Mara tu wanapojaribu kutoroka, hufanya kelele mara moja.
Mwafrika anaimba wimbo huo na kuusherehekea pamoja na wazungu
Bila kujua wanaimba kushangilia jinsi mababu wa Kiafrika walivyoteseka.View attachment 2749805
Kwani nimetaja Imani nyingine.ukitaka za wao nitakupaWavaa kobazi wako vizuri sana kutunga hekaya za Abunuasi zilizojaa upotoshaji. Nilimsikia hata mmoja akiwapotosha wenzake juu ya historia ya Valentine Day.
Mbona mnateseka sana na imani za wenzenu badala ya kujikita na mafundisho ya kuwajengea imani yetu bila uzandiki kwa imani nyingine?