Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
- Thread starter
- #21
Baba yako wakati ukiwa kwenye surualikwa hiyo wewe ulimuuliza nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baba yako wakati ukiwa kwenye surualikwa hiyo wewe ulimuuliza nani?
Wewe hiyo simu unayotumia u nafikiri imetengenezwa na babu, zako wa Afrika? Imetengenezwa na wazungu! Hapo ulipo geuka shoto kulia,angalia vitu vingapi vimetengenezwa na wa Afrika, asilimia 95utakuta vyote vya mzungu, sasa hako ka wimbo, ni minor issue,Ikifika kipindi Cha mwisho wa mwaka December nyimbo za Christmas upigwa ila nyimbo kubwa zaidi ya jingle bell.
Nyimbo hii ilitengenezwa makusudi kwa watumwa weusi waliokuwa wakifungiwa kengele Ili wasitoroke.
Baadhi ya Waafrika husherehekea wakati wa Krismasi
Ni kile wanachoweka kwa mababu wa Kiafrika ili wasitoroke.
Mara tu wanapojaribu kutoroka, hufanya kelele mara moja.
Mwafrika anaimba wimbo huo na kuusherehekea pamoja na wazungu
Bila kujua wanaimba kushangilia jinsi mababu wa Kiafrika walivyoteseka.View attachment 2749805
hiyo kazi imewashinda, wanachoweza ni kupiga bann tuu!! huu mtandao tusiokuwa makin utapata anguko kubwaaa, hilo suala watu wameimba mala kuimbaaa hawasikiiiiiJamiiforum wezesheni kuina video na picha katika app
Shetani si ni baba wa uongo.Uongo mtupu. Weka source hii chai yako hapa. Unajisikia raha sana kuandika uongo?
![]()
Jingle Bells - Wikipedia
en.m.wikipedia.org