Jingle bells tafsiri yake mnaopenda kuimba bila kufahamu

Wewe hiyo simu unayotumia u nafikiri imetengenezwa na babu, zako wa Afrika? Imetengenezwa na wazungu! Hapo ulipo geuka shoto kulia,angalia vitu vingapi vimetengenezwa na wa Afrika, asilimia 95utakuta vyote vya mzungu, sasa hako ka wimbo, ni minor issue,
Hata kama kengele zilifungwa kwa watumwa! Vile vile kuzaliwa kwa kristo, yesu, wa kristo wanahaki ya kupiga kengele, matalumbeta kushangilia!
Acha akili finyu,
Vitu vingi anavyotumia mwafrika ni vya mzungu!
Usijifiche nyuma ya, Historia, eti kwa vile wimbo huu ulitumika kwa, wwtumwa, hauwezi kutumika sehemu nyingine na ukaleta maaana,
Yaani kwa vile mtu aliyeitwa Adolf, aliua wayahudi kule ujerumani, basi Hilo jina ni hovu lisitumike kuwapa watoto! Seriously! Bro!
 


Kwanini umeweka hii sehemu badala ya hizo jingle bells? Ulilenga kusema nini?
 
Jamaa muongo na anapotosha,propagandist wa mudi huyu sio bure.
 
Jamiiforum wezesheni kuina video na picha katika app
hiyo kazi imewashinda, wanachoweza ni kupiga bann tuu!! huu mtandao tusiokuwa makin utapata anguko kubwaaa, hilo suala watu wameimba mala kuimbaaa hawasikiiiii
 
Vijana wenye hasira kali wanajadiliana story za vijiweni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…