Jingle jahazi clauds fm

Jingle jahazi clauds fm

Nyamuleha jr

Senior Member
Joined
Feb 20, 2013
Posts
185
Reaction score
65
Wakuu naombeni mnisaidie naitaji kujua hii jingle ya jahazi clauds fm ninyimbo gani na niya nani niliwahi kumuuliza kayanda kwny fb ila hakunipa jibu
 
Haha mzee yusuph wapi wewe! Humo nilisikia sauti ya Akon Nataka kuijua iliniisikilize
 
Last edited by a moderator:
majibu kama haya unaweza patea na haja kubwa
 
Back
Top Bottom