Jini linaloharibu ndoa zao-atraku nikah

Jini linaloharibu ndoa zao-atraku nikah

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Hiili ni jini linalosumbua sana ndoa za watu ,hupitia kwa watu kupitia vikosi vyake vidogovidogo vya jini mahaba,
hili jini moto wake ni kuona aupo kabisa na kama ukikomaa ujasimaa na mungu linakuondoa uhai kukutenganisha na mwenzio
ikiwa unasali usiache kulikemea jini hili ni la ajabu sana linaweza kuwa na wewe hata kwenye ndoayakona likakufanya
uko na furaha sana kumbe mkeo anafurahia jini...sasa basi shetan ukitaka kummaliza taja zile src zake vivyo vivyo ukiombea ndoa yako taja hili jina likemee kwa damu yayesu likateketezwe majini yote moto wake ni damu yayesu so usiache kutaja jina la damu ya yesu ili upone ndoa yako
 
Back
Top Bottom