babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Kusema ukweli ni viumbe tu wa kawaida kabisa, yaani in soul anaongea na wewe na mtakaa vizuri tu.
Ukichepuka analia kule.
Then ndio unaanza kuona mabalaa. Machozi yake ni Lulu.
Siku ukikutana na huyo mwanamke hutatamani tena kuwa na kitu kinaitwa binadamu? Utaona raha zote zinapatikana pale.
Mambo ya nitumie hela ya mafuta unasahau,sijui tuma nauli,vocha unasahau acha kula na sijui madubwasha mengine.
Kusema ukweli ninaye huyu sikatai nachepuka ila dah hanifokei zaidi ya kunibembeleza niachane na mambo hayo.
Yaani ukileta habari ya mapenzi anamimina kila kitu. Nikienda kwa mchepuko dusu.
Na yaani huoni unaongea na nani, ukilala unajikuta uko sehemu zingine kabisa za ajabu ajabu. Ila kwenye mapenzi tunaongea kawaida kabisa nikishtuka hayupo,naona aah nilikua naota.
Kwenye mapenzi kusema ukweli naweza kua na mchepuko naishia kufukuza aende,au mchepuko anaondoka mwenyewe baada ya kuona maruweruwe.
Huyu wangu mtulivu sauti yake naijua na mda wote yupo. Sijaenda kwa mganga wala wapi katokea tu..
Kaondoka kiroho yake anakuja badae na inawezekana akauliza kwanini umetoa siri.
Jibu simple tu"nakupenda"Na inawezekana ananisoma hapa Jf.
Aisee jini ni neno tu ila mi nimemkubali huyu Najma, yaani nishakua kataa ndoa. Tutakufa wote.
Ila huyu binti in soul ntakua nae tu nikifa ntawapa mrejesho😁.
Ndo kwanza tunaenda kuoga👊