Jini Mahaba

ukweli mtupu nimeshuhudia hii kitu
 
Hebu nipe experience
enzi za ujana wangu nilikutana na kaka mmoja alikuwa anajikanyaga kanyaga kunitongoza lakini alifanikiwa na ndipo aliponiambia hata yeye haelewi imekuaje hadi akanitongoza sababu amekuwa hatamani mwanamke wala hawezi kutongoza mwanamke..

lakini baadae nikaja kujua kumbe ana jini huwa linakuja usiku anapiga mambo tena sio ndotoni ni laivu alinambia mwenyewe

nami pasipo kujua kumbe nilikuwa pia nina jini mahaba ndio maan tukaweza kuendana japo mie nilishaombewa naye alifanikiwa kufanyiwa dawa yule jini akawa haji tena

lkni tumepotezana baada ya mie kuama mkoa na kuendelea na mahusiano mapya
 
Hahahahaha.
Aiseeh hamna kilichoendelea maana naina imenipa hamasa kujua zaidi
 
Hahahahaha.
Aiseeh hamna kilichoendelea maana naina imenipa hamasa kujua zaidi
jini si viumbe vizuri kwakweli..kama ni mwanamke unakuwa hutamani mwanaume hata ukimpata hamdumu sana pia kuna daliki kam kuota unaingiliwa usiku,,ukipata ujauzito kutoka,, mda mwingine hushiki kabisa ujauzito au kuota ndoto unamimba,, unanyonyenya mtoto,, unajifungua,, una pete za ndoa,,

mwanaume pia anakuwa hana hamu na wanawake au hakai akatulia kwenye mahusiano mara aletewe watoto ndotoni na kuota anafanya mapenzi na mwanamke usiku

wengine huwa ni ndoto tu lakini wengine huwa laivu kabisa

ukibahatika kuombewa huwa wanaondoka hawa viumbe japo huwa wabishi sana sababu wanahisi wanaingiliwa sababu mwinginr unaweza ukawa hujijuo kumbe tangu mdogo unakua nalo pasipo kujijua...wengine wanafanyiwa dawa kama yule kijana yeye alienda kufanyiwa dawa tanga

NB:hao viumbe wanawivu sana binadam haoni ndani
 
Asante sana nyiramba girl haya maujuzi hadimu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…