jini si viumbe vizuri kwakweli..kama ni mwanamke unakuwa hutamani mwanaume hata ukimpata hamdumu sana pia kuna daliki kam kuota unaingiliwa usiku,,ukipata ujauzito kutoka,, mda mwingine hushiki kabisa ujauzito au kuota ndoto unamimba,, unanyonyenya mtoto,, unajifungua,, una pete za ndoa,,
mwanaume pia anakuwa hana hamu na wanawake au hakai akatulia kwenye mahusiano mara aletewe watoto ndotoni na kuota anafanya mapenzi na mwanamke usiku
wengine huwa ni ndoto tu lakini wengine huwa laivu kabisa
ukibahatika kuombewa huwa wanaondoka hawa viumbe japo huwa wabishi sana sababu wanahisi wanaingiliwa sababu mwinginr unaweza ukawa hujijuo kumbe tangu mdogo unakua nalo pasipo kujijua...wengine wanafanyiwa dawa kama yule kijana yeye alienda kufanyiwa dawa tanga
NB:hao viumbe wanawivu sana binadam haoni ndani