MKATA KIU
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,410
- 8,184
Habari wadau.
Kwa wale wajomba na mashangazi above 30s nazani wanazijua sana hizi stori.
Dar kulikuwa na vitisho vingi mitaani kwamba jini mrefu kavaa kanzu kaonekana bondeni. Watu wanabadilisha njia.
Shule kwenye shule za msingi kulikuwa na vitisho vya mbuzi kaonekana chooni anakuna nazi. Mara pilau linapikwa chooni. Watu wanaacha kwenda chooni.
Popo bawa na yeye ameonekana mbagala. Nae alitingisha sana Dar kwa kuingilia watu kimiujiza usiku wa manane.
Najiuliza hizi story zimefia wapi? Mbona hazisikiki siku hizi.
Ama ndio Teknolojia imekuja kuuumbua uongo wa miaka mingi Kwamba uchawi wala majini hayapo ? Ni janja janja tu