Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
DR weka sawa hapa, ni BIA tu za baridi au kinywaji chochote cha baridi?unakunywa bia zabaridi ndugu..kama ndio wacha mara moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DR weka sawa hapa, ni BIA tu za baridi au kinywaji chochote cha baridi?unakunywa bia zabaridi ndugu..kama ndio wacha mara moja
La chini upande wa kushoto..lile kuleee la mwisho[emoji119]Jino la sehemu gani mkuu, pole sana pia
Bia ya baridi ni tamuunakunywa bia zabaridi ndugu..kama ndio wacha mara moja
Bia niliacha kunywa miaka mitatu iliyopita baada ya kuoa[emoji17]unakunywa bia zabaridi ndugu..kama ndio wacha mara moja
Saivi mwendo wa juiceBia niliacha kunywa miaka mitatu iliyopita baada ya kuoa[emoji17]
Asante ndugu yangu,Kwa maeneo ya hapa ilala aise ni wapi unahisi Kuna afueni maana nikiwaza zile nyundo na tindo za Dokta napatwa kiwewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nacheka maana niliwahi kuumwa jino usiku mzima sijalala kesho yake niliondoka saa kumi usiku kuwahi hosptali.Jino ni shenz kabisa pole sana.
Nakutakia kila la kheri ndg. yangu. Usifanye masihara na jino bovu; Ng'oa tupa kule.Kesho ninampango wa kuenda kuling'oa asiee...naona nikiwa mwendawazimu...tuombeane ndugu zangu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nacheka maana niliwahi kuumwa jino usiku mzima sijalala kesho yake niliondoka saa kumi usiku kuwahi hosptali.Jino ni shenz kabisa pole sana.n
Maumivu ya jino huwa hata komandoo anawahi mapema hospitalini
Ni uji tu ndugu yangu...uji umenitunisha shavu🥲Saivi mwendo wa juice
Linanipa kiwewe sana ndugu yanguNakutakia kila la kheri ndg. yangu. Usifanye masihara na jino bovu; Ng'oa tupa kule.
Ndugu nimejaribu yote haya...mpaka nimeishia kulala mvunguni kwenye ubaridi...angalau nisinzie..[emoji119]Chukua karafuu iloweke kwenye maji ya vugugugu, then yale maji chukuchua na uyaache kidogo mdomoni kwa muda...
Ni dawa nzuri sana ina tibu, ila ukitaka kuponyeka kang'oe tu.
Me nilitumia toka mwezi April mpaka sasa hivi sijaumwa tena na jino
Hongera kwa shemeji yetuNi uji tu ndugu yangu...uji umenitunisha shavu🥲
Hapo ndo ulipokoseaBia niliacha kunywa miaka mitatu iliyopita baada ya kuoa[emoji17]
Duh pole... Nenda kang'oe tu basiNdugu nimejaribu yote haya...mpaka nimeishia kulala mvunguni kwenye ubaridi...angalau nisinzie..[emoji119]