Jino linaniuma

Acha tu! Kuna kipindi liliniamulia usiku nikaingia chini ya uvungu wa kitanda! Ki ufupi hakuna usiku uliokua mrefu kama ule!!
Kesho yake asubuhi mapema kabisa nilikua wa kwanza kuonana na daktari pale levolosi arusha
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nacheka maana niliwahi kuumwa jino usiku mzima sijalala kesho yake niliondoka saa kumi usiku kuwahi hosptali.Jino ni shenz kabisa pole sana.
Asante ndugu yangu,Kwa maeneo ya hapa ilala aise ni wapi unahisi Kuna afueni maana nikiwaza zile nyundo na tindo za Dokta napatwa kiwewe
 
Chukua karafuu iloweke kwenye maji ya vugugugu, then yale maji chukuchua na uyaache kidogo mdomoni kwa muda...
Ni dawa nzuri sana ina tibu, ila ukitaka kuponyeka kang'oe tu.

Me nilitumia toka mwezi April mpaka sasa hivi sijaumwa tena na jino
 
Ndugu nimejaribu yote haya...mpaka nimeishia kulala mvunguni kwenye ubaridi...angalau nisinzie..[emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…