Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Alitakakiwa akuchukue kama begi muende huko.alikopangiwa. Sasa kwanini alikubakisha weee selemani weeee?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliona sifai kuwa nae tena sio wa hadhi yakeAlitakakiwa akuchukue kama begi muende huko.alikopangiwa. Sasa kwanini alikubakisha weee selemani weeee?
Hahahaha i can't wait...sema ni life tu mkuuMkuu kaza iwe chachu Mungu atakupa pa kubwa kuliko bwana ake na yeye mwenyewe siku unakuwa boss wake imagine the vibe atataman akimbie kazini
Sure kaka ongeza bidiii kusoma na kujiandaa vyema ukiitwa nyengine nenda kafanye tu bila kujali ya kwanza una assume uli fail ya pili unaenda kufanya vizurHahahaha i can't wait...sema ni life tu mkuu
Kwahaya uliopitia umeshajipata cheo cha mjumbe wa kamati kuu Jobless Association Tanzania. Pole ila mapambano yaendelee.Wagonga ulimbo tunapitia mengi sana maisha yanakuchapa, mapenzi yanakupiga za uso, familia inakutenga, marafiki wanakukimbia.
Katika harakati zangu za ugonga ulimbo baada ya kugraduate mimi na kipenzi changu "Fauzia" jina la uficho (comouflage)tulikuwa na mipango mingi sana.
Siku zote niliamini nitamuoa fauzia ukizingatia alikuwa binti fulani aliyefunzwa akafunzika.Japo tuliishi mbali mbali ila wote tulitokea mkoa mmoja hivo yeye alipomaliza tukasema tupambane hapa hapa mjini kutimiza malengo yetu kwa pamoja.
Mimi nikafanikiwa kujishikiza kwenye kazi ya mgahawa mjini kati ambapo nilikuwa nalipwa kitita cha laki moja mkononi.Fauzia wangu nae si haba akawa anajishughulisha na shughuli ya kupika misosi pale getho kisha kwenda kuiuza kwenye vijiwe vya boda na wakati mimi nikiwa na free time nilikuwa namsaidia hakika nilimpenda sana na niliamini ananipenda sana.
Basi nakumbuka 2020 mwezi january ndipo magamba yetu ya vyuo yalitoka baada ya kuhitimu november 2019 yeye alikuwa kozi X na mimi nilikuw kozi Y.
Hivo wakati tunaendelea na harakati za ugonga ulimbo tulikuwa tukipitia mara kwa mara website ya ajiira portal huku nikijaribu kumpa mwongozo wa kuomba ajira ukizingatia nilikuwa vizuri kiasi kwenye masuala ya mtandao yeye hakuwahi kuwa mwanamitandao kabisa.
Basi alikuwa akiitwa interview aiienda kwenye usahili nyingi alikuwa hafanikiwi nikawa namtia sana moyo nakumbuka hadi tushawahi funga kwa maombi jumapili moja ili akafanye vzuri interview yake siku ya jumatatu.
Mimi sikuwa naitwa sana kwa interview kutokana na kozi yangu kuwa nadra sana kutangazwa ajira, Niliishi nikiamini jambo la fauzia ni jambo letu sote kumbe ulikuwa UTOTO
Mungu sio Dotto Magari asee kuna siku kama zari nikiwa napitia pdf za placement nikakutana na jina la dear ex wangu fauzia asee nilifurahia sana sana nilipofika home nikampa habari hizo nae aliruka ruka kwa furaha kisha tukakumbatiana na kuugeuza usiku ule kuwa usiku wa twanga pepeta kufurahia mafanikio hayo.
Lakini nikamshauri pia fauzia katika yale mapato ya mama ntilie tusiache kutoa sadaka ya shukrani kwa jambo lile hivo tukaenda kusalimia kituo kimoja cha watoto yatima.
As a man niliwish na mimi walau ningepata kazi nikawa nimepoa kiasi fauzia akawa amenisoma akawa ananipiga piga kifuani kuwa nisiogope ipo siku nami nitapata nikafarijika sana.
Basi bhana michakato ya kuripoti kazini ikaanza hapo ndipo ajira portal ilimpeperusha njiwa wangu,Nakumbuka nilimsindikiza hadi rose migiro kwa boda ya rafiki yangu kuchukua barua yake ya kuripoti kazini siku chache zijazo.
Alikuwa kapangiwa mkoa X mbali kiasi na nilipokuwepo nikamsupport kiuanaume michakato yote ya safari ikiwemo kumkatia tiketi na kumsindikiza hadi kituoni kwake kwa kazi kuhakikisha kapolewa vema kisha nikarudi zangu kuendelea na harakati za ugonga ulimbo maana fauzia alinambia nijipe muda kiasi then atakuwa ananitembelea au laa niwe namtembelea.
Hapo ndipo mauza uza yalianza mwanzo fauzia alikuwa ni mtu wa kunitafuta kila akirudi kazini baada ya miezi miwili hiyo ikafa nikawa nikituma meseji najibiwa niko kwa kikao siku zilivoenda nikawa sijibiwi kabisa, Nikimpigia fauzia ananijibu kiufupi sana baadae akaacha kabisa kunijibu roho wa bwana akanena nami kuwa hapo parapanda ishalia maana kuna siku alinambia ukweli kuwa niache kumsumbua yupo na mume wake
Fauzia kwa sasa ana watoto wawili na kaoelewa na bwana mwenye mipesa mimi bado nipo na harakati zangu za ugonga ulimbo huku nikimngojea bwana maana na mimi kwa mara ya kwanza nimefanikiwa kuingia oral ajira portal.
Nilichojifunza Wanawake Ni Opporrunist, Asante Yesu Sikujinyonga Nakesha Kuendesha Boda kama mpumbavu.
Nawait watangaze tena kazi nikapambanie tena kuingia oral maana nina selected for oral moja tu hadi sasa japo naona watu wanachomolewa kwa database kila pdf inayotoka najipa moyo labda nami nitafikiwaSure kaka ongeza bidiii kusoma na kujiandaa vyema ukiitwa nyengine nenda kafanye tu bila kujali ya kwanza una assume uli fail ya pili unaenda kufanya vizur
Hahahaha sawa boss mapambano yanaendelea badoKwahaya uliopitia umeshajipata cheo cha mjumbe wa kamati kuu Jobless Association Tanzania. Pole ila mapambano yaendelee.
Hahaha muhimu nilikula anko.Mkuu kikubwa ulisuza rungu ipasavyo utakuwa unamuona takataka mda mwingine tu
Mkuu hata ukimuona leo usionyeshe unyonge wewe saman yako iko juu mpka leoHahaha muhimu nilikula anko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo ulitegemea kuwa ataendelea kuwa na wewe kabisa [emoji28]
Shukrani sana mkuuMkuu hata ukimuona leo usionyeshe unyonge wewe saman yako iko juu mpka leo
NDIO HIVO MKUU NADHANI KAMPENDEA HUYO MSHIKAJI MASLAHIHuyo hamjaachana, ukikaza kidogo mnapasha kiporo.
Jamaa kaoa mke wa mtu.
Hawa wadada waliomaliza chuo jau sana, yaani wewe ulioa kabisa na huko jamaa ataambiwa alikua anaishi na wazazi wake.
Nilitegemea hivo kumbe ulikuwa UTOTOKwa hiyo ulitegemea kuwa ataendelea kuwa na wewe kabisa 😅