Jinsi Alikiba anavyoongezea umaskini mafans wake(bando) na kuwapunguzia uhuru

Jinsi Alikiba anavyoongezea umaskini mafans wake(bando) na kuwapunguzia uhuru

Upo wrong SANAAA, huyo Ali kiba siyo Ccm miaka nenda rudi

Tatzo ni upuuzi wa mange kuugeuza kua wa UKAWA,NA HUU NI UJINGA WA KIWANGO CHA PHD,SISI WENGINE SI CCM NA HATUSAPOTI UPUUZI ALOUANZISHA SASA HIVI MANGE KUA AJENDA YA UKAWA,AFU ULIVYO POMPOPO HUYO MANGE NI JUZI TU KAACHANE NA CCM TENAKIJUUJUU LAKINI ALIKUA HUKOHUKO NA BAFO ALIKUA ANAMCHUKIA DIAMOND

ALAFU ULIVYO NA MAWAZO FINYU UNAFIKIRI DIAMOND KASHUKA KWA AKILI ANAYOWAELEZAMANGE KATKA PAGE YAKE

UTAKUA HUJAWAHI FATILIA HAYA MAMBO,HUYO WEMA ALISHAMPIGIAGA MPAKA KURA DAVIFO NA TEAM YAKE WAMSHUSHE DIAMOND
WALIPIGA KURA ZAKILIMANJARO MUSIC AWARD DIAMOND AKOSE KIBA AKAPATANYINGI

WALISHAMPIGIAGA KIKI KIBAMPAKA TUZO ZA KIMATAIFA LAKINI WAPIIIIIII

HUYO NDO MONDI SIMBAWA MAPAMBANO

HUA HAKATI TAMAA ZA KIPUUZI KMAA FIKIRI

SEDUCE ME MNAENDELEA KUPAMBANIA VIEWS HUKU WATU HAWASKIZI MTAANI. WANAPIGA WCB TUPU

MNAMUHARBU TU HUYO KIBA,TIME WILL TELL
Waambie hao machizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ali kiba ameendelea kuleta umaskini kwa washabiki wake, na kuwapunguzia uhuru wa kupata burudani. Mashabiki wa ali kiba wanatumia nusu ya kipato chao kununua bando ilimradi waweze kuangalia video ya Seduce me 24/7 na hivyo kufanywa mazezeta, kwani bando wanaloweka ni kwa ajili ya ali kiba na si kitu kingine cha kuleta maendeleo, wengine wameenda mbali zaidi hadi kuchukua mkopo ili kupata bando la kutosha kupambana na Diamond. Pia mashabiki wake wengi wamekuwa ombaomba, kila muda kuomba vocha ya bando. Pia kwetu cc baadhi ya wanaume tunaumia sana maana wapenzi wetu(mademu ) wengi ni timu kiba na tunaombwa pesa ya bando kila siku. Kama mnavyojua washabiki wa ali kiba 90% ni kina dada mfano jokate, wema, zamaradi, wolper, uwoya so ni shida.

Jambo jingine ni la kuwa na uhuru mdogo kwa mashabiki wa ali kiba kwani hawaruhusiwi kuangalia nyimbo nyingine kabisa zaidi katika you tube yaani ni marufuku wanapaswa kuangalia seduce me huku nyimbo nyingine kali zikiwapita pembeni. Kitu cha ajabu kabisa lazima tukuze mziki wetu tuangalie nyimbo zote kwa maana zote ni nzuri.

Mwisho kabisa kuna kitu kama nimekiona Kuna kaushindani you tube kati ya Seduce me na Zilipendwa na ninaona yeyote atakayelegeza atapitwa view so inawezekana washabiki wa watu hawa hawalali wanashinda you tube muda wote, wanateseka sana na watakuja kuumwa. Diamond na alikiba mtaua vijana wa watu na dhambi mtapata na moto mtachomwa.
Pia mange amesema diamond ameshaharibika kisaikolojia baada ya kushindwa battle na kiba hiyo nakubali lakini yote haya alijitakia kumdiss mtu ambaye alikuwa kimya. Pole baba hamisa
Ok.
 
Hahahaha! Jamaa anazisema team kiba kuwa zinateseka kuviews,hali ya kuwa team mond nazo zimepunguza gape za views kutoka laki 9 hadi 7 sasa,na bado zinazid kupungua,sasa hapo ni kweli team kiba ndo zinafanya kazi au mond?
Huyu jamaa atakuwa anazungumzia hali inayomkabili mwenyewe, sasa hajajua ni nani sahihi wa kummalizia hasira zake.
 
Huyu jamaa atakuwa anazungumzia hali inayomkabili mwenyewe, sasa hajajua ni nani sahihi wa kummalizia hasira zake.
Hahahaha! Umeona eh! Halafu anakuja kuwapakazia team kiba,haliyakuwa views za zilipendwa zinapanda kwa kasi kuliko seduce me! Sasa hapo anayekosa Uhuru nani kati ya hizo timu mbili?
 
Hahahaha! Jamaa anazisema team kiba kuwa zinateseka kuviews,hali ya kuwa team mond nazo zimepunguza gape za views kutoka laki 9 hadi 7 sasa,na bado zinazid kupungua,sasa hapo ni kweli team kiba ndo zinafanya kazi au mond?
Zilipendwa inaongezeka view naturally yaani no hard feeling tofauti na external force inayotumika kwny seduce me na mpk mwezi huu uishe seduce atakuwa anapumuliwa au kupitwa kabisa na huyu zilipendwa.

Ushauli team kiba acheni kulala lasivyo mtapitwa mda siyo mrefu, maana gep linazid kupungua tu. Au tuseme mabando yanaanza kukata nn?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata tusiponunua bundle tunaweza kumpa cash mkononi
 
Zilipendwa inaongezeka view naturally yaani no hard feeling tofauti na external force inayotumika kwny seduce me na mpk mwezi huu uishe seduce atakuwa anapumuliwa au kupitwa kabisa na huyu zilipendwa.

Ushauli team kiba acheni kulala lasivyo mtapitwa mda siyo mrefu, maana gep linazid kupungua tu. Au tuseme mabando yanaanza kukata nn?

Sent using Jamii Forums mobile app
Views za seduce me zimeongezwa na mashabiki wa diamond na sio alikiba kwa kasi,kwani alishiriki kupromote mafans wake wakaitazame,baada ya kupost yule jamaa akicheka na lile bifu track,hivyo team kiba munawaonea tu,kazi walifanya team mond.Na ukifanya masihara diamond ndo keshampaisha kiba bila kujua,kifuatacho asuburie kudondoka yeye mwenyewe diamond,ni kitu ambacho atakijitua mno ktk maisha yake,kafanya kosa kubwa sana,hahahahaha
 
Zilipendwa imeakisha view 170000 tu kuifikia seduce me
 
Mpaka mwisho wa mwezi seduce me itakuwa chalii, na itakuwa ishazidiwa view
 
Views za seduce me zimeongezwa na mashabiki wa diamond na sio alikiba kwa kasi,kwani alishiriki kupromote mafans wake wakaitazame,baada ya kupost yule jamaa akicheka na lile bifu track,hivyo team kiba munawaonea tu,kazi walifanya team mond.Na ukifanya masihara diamond ndo keshampaisha kiba bila kujua,kifuatacho asuburie kudondoka yeye mwenyewe diamond,ni kitu ambacho atakijitua mno ktk maisha yake,kafanya kosa kubwa sana,hahahahaha
Ukimaliza kuota nenda kaoge upunguze uchovu.
 
Leo tu nyimbo ya kukopy ya Kiba imeshapitwa view na Zilipendwa ya Wcb,, mie
Nilijua tu nyimbo Kama
Haivutii kusikiliza haiwezi kudumu!!
 
Back
Top Bottom