Jinsi Alikiba anavyoongezea umaskini mafans wake(bando) na kuwapunguzia uhuru

Waambie hao machizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok.
 
Hahahaha! Jamaa anazisema team kiba kuwa zinateseka kuviews,hali ya kuwa team mond nazo zimepunguza gape za views kutoka laki 9 hadi 7 sasa,na bado zinazid kupungua,sasa hapo ni kweli team kiba ndo zinafanya kazi au mond?
Huyu jamaa atakuwa anazungumzia hali inayomkabili mwenyewe, sasa hajajua ni nani sahihi wa kummalizia hasira zake.
 
Huyu jamaa atakuwa anazungumzia hali inayomkabili mwenyewe, sasa hajajua ni nani sahihi wa kummalizia hasira zake.
Hahahaha! Umeona eh! Halafu anakuja kuwapakazia team kiba,haliyakuwa views za zilipendwa zinapanda kwa kasi kuliko seduce me! Sasa hapo anayekosa Uhuru nani kati ya hizo timu mbili?
 
Hahahaha! Jamaa anazisema team kiba kuwa zinateseka kuviews,hali ya kuwa team mond nazo zimepunguza gape za views kutoka laki 9 hadi 7 sasa,na bado zinazid kupungua,sasa hapo ni kweli team kiba ndo zinafanya kazi au mond?
Zilipendwa inaongezeka view naturally yaani no hard feeling tofauti na external force inayotumika kwny seduce me na mpk mwezi huu uishe seduce atakuwa anapumuliwa au kupitwa kabisa na huyu zilipendwa.

Ushauli team kiba acheni kulala lasivyo mtapitwa mda siyo mrefu, maana gep linazid kupungua tu. Au tuseme mabando yanaanza kukata nn?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata tusiponunua bundle tunaweza kumpa cash mkononi
 
Views za seduce me zimeongezwa na mashabiki wa diamond na sio alikiba kwa kasi,kwani alishiriki kupromote mafans wake wakaitazame,baada ya kupost yule jamaa akicheka na lile bifu track,hivyo team kiba munawaonea tu,kazi walifanya team mond.Na ukifanya masihara diamond ndo keshampaisha kiba bila kujua,kifuatacho asuburie kudondoka yeye mwenyewe diamond,ni kitu ambacho atakijitua mno ktk maisha yake,kafanya kosa kubwa sana,hahahahaha
 
Zilipendwa imeakisha view 170000 tu kuifikia seduce me
 
Mpaka mwisho wa mwezi seduce me itakuwa chalii, na itakuwa ishazidiwa view
 
Ukimaliza kuota nenda kaoge upunguze uchovu.
 
Leo tu nyimbo ya kukopy ya Kiba imeshapitwa view na Zilipendwa ya Wcb,, mie
Nilijua tu nyimbo Kama
Haivutii kusikiliza haiwezi kudumu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…