jinsi ambavyo ujumbe wa kala jelemaya mashabiki wameupuuza

Mapensho star

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
3,052
Reaction score
4,104
baada msanii kala jelemay kuachia kazi mpya nilitegemea mapokezi kutokana ujumbe mkubwa kwa jamii na kwa mashabiki lakini imekuwa kinyume chake watu wameipuuza haijafany vizur vile ambavyo ilitakiw mara nyingi mashabiki wamekuw wanalalama kuhusu wasanii wao kuimba nyimbo za mapenzi kila siku lakin ndo zinazopokelew kwa mapokez makubwa
 
Hahaha...sasahv ni nyimbo za mapenzi ndio zina mkuu....ujumbe/uzalendo mwachie ROMA

au akitaka kuvuma atembee na Shilole then atoe single uone kama hatakuwa nominated MTV
 
hebu tuwekee hiyo nyimbo tuisikie...
 
hivi bado hajapata endorsement ya ule wimbo wake wa wanandoto? mana ujumbe mzuri sana
 
Wanandoto bonge ya wimbo

Kala ni jinias ila mziki wa bongo unaamuliwa na watu baadh uwe mzur au uwe mbaya
 
Muziki kwa sasa umegawanyika sehemu mbili;
1. Mapenzi
2. Kujirusha

Ukitaka ku-hit tunga nyimbo ama hakikisha kuna biti ambalo linafiti kwenye hizo category mbili. Otherwise utachora chini
 
Kweli Kala kapuuzwa maana naona hata huu uzi una dalili za kupuuzwa.
 
Roma kidogo anatoka nje ya mstari. Lakini Kala Kastick kwenye nyimbo za ujumbe hasa matatizo ya jamii.

ROMA mara nyingi anaimba siasa japo kwasasa anaimba kujirusha.
 
kala siku zote anagusa kila mtu ukisikia, kama ila naamka asubuhi dah mpk chozi lilinitoka
 
Wenye kuamua mziki wanamtaka sweet mangi poor tanzanian
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…