Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
baada msanii kala jelemay kuachia kazi mpya nilitegemea mapokezi kutokana ujumbe mkubwa kwa jamii na kwa mashabiki lakini imekuwa kinyume chake watu wameipuuza haijafany vizur vile ambavyo ilitakiw mara nyingi mashabiki wamekuw wanalalama kuhusu wasanii wao kuimba nyimbo za mapenzi kila siku lakin ndo zinazopokelew kwa mapokez makubwa