Hello Great Thinkers! Hodi tena ndani ya mjengo wa watu wenye fikra pevu na mawazo thabiti ya kujenga hasa katika kitengo hiki cha kukuza uchumi, yaani jukwaa la biashara-business forum.
Nategemea kupata Tshs. 6,000,000/= hivi karibuni na ninataka kutengeneza faida isiyopungua Tshs.2,000,000/= kwa miezi 12 (ndani ya mwaka 1) zaidi kwa kutumia kiasi hicho ninaweza kufanya nini ili kufikia lengo hilo au zaidi ya hapo? Ni biashara gani naweza kufanya? Kwa ujumla naomba ushauri wa njia gani au jinsi au namna gani au ni mbinu zipi au biashara gani inayolipa vizuri au yenye faida kama ninavyotaka naweza ku(z)itumia au kufanya ili kuzalisha pesa zaidi (how to make more money) kama nilivyoeleza hapo juu??? Au kama kuna mtu yeyote ambaye yuko tayari, naweza kumkopesha pesa hiyo then aizalishe zaidi na ziada ya nitakayo (2m) itakuwa yake au aitumie ajuavyo ili mradi tu anirejeshee mkopo huo ikiwa pamoja na riba hiyo tajwa hapo juu kwa mda wa miezi 12. Kumbuka vigezo na masharti kuzingatiwa. Kwa mawasiliano zaidi nipm au nitafute kwa mawasiliano yafuatayo:
daudipeter40@yahoo.com au
david.peter40@gmail.com
0758 33 40 40 au
0712 77 54 77