Hammy Js
JF-Expert Member
- Sep 20, 2017
- 3,054
- 3,263
Majani yake hayana tofauti na majani ya muhogo wa kawaida, kama huujui unaweza ukachuma ukapika kisamvu. Huwa unaitwa mpira mkuu au pyrethram. Ukikomaa unatoa maua mekunduSasa binadamu na Kula majani ya mihogo wapi na wapi? Hata kisamvu hayachumwi.